Gay's couple yazuiliwa kuingia Zanzibar

Gay's couple yazuiliwa kuingia Zanzibar

Najua utakuja na filosofia zako kama kawaida, ulichoshindwa ni kusema orientation yako, na kuweka wazi jinsia yako. Hata kama hivyo sio vigezo vya kujiunga jf, as a family walau tunaambiana jinsia zetu.

Jf ni familia kubwa sana..
Usipangie watu Maisha Mkali.
Get bize Mzee
 
Wawe na shukran wamezuiliwa kabla hawajaingia wangefika na ikabainika wanalawitiana wangekaa jela waheshimu sheria za nchi japo zenji mapunga ni wengi kuliko binadamu wa kawaida angalau wameonyesha wapo na mamba
 
Ndyo kuna mume anasimaka km Top, na mke anasimama km bottom,

Labda hawa ni versatile, wanakulana zamu zamu, kukoboanaa woiiiiih.
😂😂😂
Lakini yupo sahihi, kwenye mapenzi ya jinsia moja hakuna mke na mume ila kuna mke na mke au mume na mume unless katika hao kuwe kuna Transgender, hapo ndio kutakua na mke na mume
 
Lakini yupo sahihi, kwenye mapenzi ya jinsia moja hakuna mke na mume ila kuna mke na mke au mume na mume unless katika hao kuwe kuna Transgender, hapo ndio kutakua na mke na mume
Najua, nazungumzia Roles mahi.
 
Katika vitu cocastic ameshindwa ni kudeclare wazi kwamba yeye ni shoga, kwamba yeye ni wa kiume, kwamba yeye ni mwanamke! Ameshindwa kuwa wazi.
Namjibia japo mwenyewe hua hapendi kujibiwa, lol,
Coca ni MWANAMKE tena pisi kali haswaaaa, kama alijinasibu yeye ni mtu wa alphabet (LGBT) basi jua yupo kwenye herufi moja wapo katika hizo lakini sio G kiufupi yeye sio Gay ni mwanamke, naimani jibu ushalipata utawaambia na wengine
 
Content creator na socialite wa South Africa anayejulikana km Austin Mzukwa na mpenzi wake wamezuliwa kuingia visiwani Zanzibar baada ya kugundulika kuwa wana mahusiano ya kimapenzi ya jinsia 1.

Hali hiyo imetokea uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume, ambapo wafanyakazi na walinzi wa hapo waliwazuia kutoka nje ya uwanja huo, mara baada ya kubainika kwa mahusiano yao hayo.

Mzukwa na mpenzi wake wamezuiliwa ikiwa walikua ktk mipango ya mapumziko mafupi na kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa mzukwa visiwani humo, mzukwa ameonesha kusikitishwa na hali hiyo na hajapenda kabisa, amelaani na kuapa hatokanyaga tena visiwani humo.

Ila Zenji nao kujifanya wana maadili au vipi, mbona huko mashoga wako kibao tena lele lele, hadi afande wao kuji record akiukalia na kuulilia ukuni, na waja wakaona, leo hizi ashuo zinatoka wapi? Mxxxxiiiieeew

Mwenzenu nachoka kwa hawa wapenzi wenyewe, maana sielewi mume yupi, na mke nani, najionea km wote wanawake tu, au ndio mkoboano? 😂😂😂
Bwana anavyoongea aibu naona mie, huyo bibi pembeni nae anajiliza liza hapo, khaah 😂😂😂

Nachoka kwa kweli, woiiiih.


View attachment 3682523

Wameogopa wataenda kuchafua mashuka Zanzibar? Wakati wanao wa kutosha hawahitaji wengine zaidi? 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Daah dunia imebadilika,watoto wana wakati mgumu sana,mimi nikiona mwanaume amekuwa shoga najisikia vibaya.
 
Namjibia japo mwenyewe hua hapendi kujibiwa, lol,
Coca ni MWANAMKE tena pisi kali haswaaaa, kama alijinasibu yeye ni mtu wa alphabet (LGBT) basi jua yupo kwenye herufi moja wapo katika hizo lakini sio G kiufupi yeye sio Gay ni mwanamke, naimani jibu ushalipata utawaambia na wengine
Assnte mkuu!!🙏
 
Back
Top Bottom