Burundi yafunga mpaka wake na Rwanda

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,115
Burundi imetangaza kuufunga mpaka wake na Rwanda ikiwa zimepita wiki mbili baada ya kuituhumu Nchi hiyo jirani yake kuunga mkono Waasi waliofanya mashambulizi kwenye ardhi yake.Mtandao wa DW Kiswahili umeripoti kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Burundi Matin Nitereste, ametangaza jana jioni kwamba wameamua kufunga mpaka na Rwanda na kwamba yeyote anayejaribu kupitia mpaka huo hatofanikiwa.

Waziri Nitereste amesema Rwanda inawahifadhi Wahalifu wanaowadhuru Raia wa Burundi na kuongeza kuwa wao pia hawawataki Raia wa Rwanda. Burundi inasema kundi la Waasi wa RED-Tabara ambao linadai linahifadhiwa na Rwanda, lilifanya shambulizi December 22 karibu na mpaka na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na kuuwa Watu 20, wakiwemo Wanawake na Watoto.

Tangu kutokea kwa shambulio hilo, Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amekuwa akiituhumu Rwanda kuwaunga mkono Waasi hao, madai ambayo Serikali ya Rwanda imeyakanusha mara kwa mara.

===

Burundi shuts borders with Rwanda

BURUNDI: Burundi has closed its borders with Rwanda after accusing its neighbour of funding rebel attacks.

Last December Red Tabara, a Burundian rebel group, killed 20 people near the border with the Democratic Republic of Congo.

Rwandan President Paul Kagame denies the charge, but Burundi’s government has branded him a “bad neighbour”.

“We have stopped ties with him until he changes,” said Burundi’s Interior Minister Martin Niteretse.

Burundian President Évariste Ndayishimiye made the accusation in December following the attack.

The Rwandan government responded that it “regrets the unilateral closure of the border by Burundi”, according to AFP.

It said the border closure was an “unfortunate decision” which violated the principles of regional cooperation and the integration of the East Africa Community.

==========

Burundi shuts border with Rwanda amid spat

KIGALI/BUJUMBURA, Jan 11 (Reuters) - The Rwandan government on Thursday said Burundi had decided to shut its border with the East African nation, weeks after the Burundian president accused it of hosting a rebel group.

Burundi's President Evariste Ndayishimiye in late December accused Rwanda of hosting and training the Red Tabara rebel group, which claimed responsibility for an attack near Burundi's western border with the Democratic Republic of Congo (DRC). Rwanda has rejected his allegations.

Rwanda learned about Burundi's decision through media reports, a government spokesperson told Reuters, adding it violated the principles of a regional bloc both are part of.

"This unfortunate decision will restrict the free movement of people and goods between the two countries, and violates the principles of regional cooperation and integration of the East African Community," said Yolande Makolo, a spokesperson for the Rwandan government.

Relations between some nations within the bloc have been frosty for years amid domestic disputes, which also include Uganda, Kenya, Tanzania, South Sudan, Democratic Republic of the Congo and Somalia.

"Today we closed the borders. And someone who will go there will not pass," Burundi's interior minister Martin Niteretse was quoted as saying by the local media.

The minister did not respond to Reuters' request for comment.

Burundi has said the December attack claimed the lives of 20 people while Red Tabara said on social media platform X that it only killed nine soldiers and a police officer.

Red Tabara has been battling Burundi's government from bases in eastern Congo since 2015.

Source: Reuters
 
Red tabara ni kundi lililoundwa na watusi wa burundi . Lengo ni kupindua serikali na kusimika serikali ya kitusi!
Kifup Pk n mkabila sana
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ameshindwa kuitisha Kikao kwaajili ya ku-solve huo mgogoro au anataka yatokee mauaji ya Kimbari kama ya mwaka 1994 ndiyo atafurahi?
 
Serikali ya Burundi imefunga mpaka wake na Rwanda ikiwashutumu majirani zao hao kuwa wanafadhili vikundi vya waasi.

Desemba 2023, Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye aliishutumu Rwanda kuwa mbali na kufadhili pia inatoa mafunzo kwa Kundi la Waasi la Red Tabara ambalo anadai limehusika na mauaji ya watu 20 yaliyotokea Mpaka wa Magharibi wa Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Rais wa Rwanda, Paul Kagame mekanusha tuhuma hizo lakini Serikali ya Burundi imemtaja kuwa ni ‘Jirani mbaya’.

Rwanda na Burundi ni baadhi ya Nchi zinazounda Jumui ya Afrika Mashariki ambayo ilianza na Nchi tatu Wanachama ambazo ni Tanzania, Kenya na Uganda baadaye zikaongezeka Sudan Kusini, DRC na Somalia.

===============

Back
Top Bottom