funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,162
- 31,716
Huu ndio Ukweli unaotaka kupotoshwa kwa makusudi na watashindwa tunadhani mnachanganya mambo. lengo la serikali ni kumpunguzia mzigo mlaji yaani consumer. kwa maana nyingine tozo za huduma ile 18% zinatakiwa zipunguzwe na iwe ndio consumption tax badala yake. kama tozo ya huduma ilikuwa sh.2000. mteja sasa anatakiwa kutozwa 1640. na ile 360 iwe consumption tax. kiufupi gharama imepunguzwa kwa mlaji. mabenki income yao nayo imepungua.