this seems to be like Wednesday news.. we have to change this.. haiwezekani habari ya Jumatano tunasoma Ijumaa! are we in a kind of time warp in sector 17?
Well the Bigman has gone now.. the question is who gonna be our new Gavana? Kimei, Rashid (again?) Blandina Nyoni, Dr Dau, Juma Reli....
Nawakumbusha maneno aliyosema DR.Slaa wakati ule ilipotolewa taarifa kuwa Balali ameenda kutibiwa marekani , alisema namnukuu/ kuna taarifa kuwa huyu amepelekwa huko ili asirudi tena nchini / na hayo maneno yalikuwa yana ukweli mkubwa ndani yake na hapa huu ni ushuhuda tuu unaendelea kutokea hapa wandugu.
Jumuiya ya kimataifa imeendelea kuwabana hawa jamaa kuhusu ripoti ya BOT na hata juzi Mbowe kwenye ufunguzi wa mkutano wa baraza kuu la chama chake aliweza kulisema hilo na la kushangaza CCM chini ya Chiligat wakasema rais asishurutishwe kutoa majibu hadharani kwani muda ukifika ataiweka ,na hapao hapo waziri wa fedha akasema kuwa CAG yupo nje ya nchi na akirudi ataweza kuikabidhi kwake...
Naendelea kufuatilia na kuna taarifa kuwa kuna timu ya watu wa hazina walikuwa Ngurdoto kwa ajili ya kuifanyia kazi ripoti hiyo kwa zaidi ya mwezi mmoja, sasa .
Hivi huko Gurdoto kuna nini??? Maana kila kukicha Ngurdoto au ndiyo serikali imeikodisha hiyo lodge kufanyia kazi zake???
Naendelea kufuatilia na kuna taarifa kuwa kuna timu ya watu wa hazina walikuwa Ngurdoto kwa ajili ya kuifanyia kazi ripoti hiyo kwa zaidi ya mwezi mmoja, sasa.
Hivi RO ndio nani? Je ni Rostam Azizi au?
Dr. Balali hakuwa mwizi, yeye alifacilitate utoaji pesa hizi kunusuru Serikali (CCM) kutumia makampuni hewa (Meremeta, TanGold, Mwananchi Green) kujipatia pesa.
But mbona haina Title?
Inaelekea yuko mahtuti hata jinsi ilivyokuwa costructed inatisha,
Au amelazimishwa kujiuzulu ndio maana kaiandika kihuni