Gari la serikali STL 6258 likivunja sheria!

Mpuz kweli huyu
Ye anafikiri hata ikiwa Gari la serikali au kambeba kigogo ndy avunje sheria
Hvi hpo akingia mtaroni atamlaumu nani

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Zaidi ya hapo, hapo ni Buguruni na akimgonga na kumuua mlalahoi kama huyo mama anayekatiza utaambiwa hii ni "traffic case", wakati kwa ukweli ni kesi ya mauaji.
 
Reflective Triangle iko wapi. Mbona hata hajawasha double hazard
hii picha ni nzuri ukiielezea hivyo, but ukienda mahakamani huwezi shinda kesi hapo! haionyeshi gari linatembea, ila limesimama, so dereva anaweza jitetea gari liliharibika akapaki pembeni kuondoa msongamano.

though sio service road, but inaruhusiwa kuweka pembeni mwa barabara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
upuuuzi tu unajua nani yupo ndani, ? kabeba nin? anawahi wapi? nani aneendesha? ..ni kweli hati ya serikali?..is it a matter of life and death?...kam hun majib siku nyingin usipost upuuz kam huu
Binafsi

Watz tunazidi majungu. Kuna siku nilikuwa namkimbiza mwanangu Hosp ya kcmc kutoka mikoa ya kati nilikuwa nakimbia sana. Na kila askari aliyenisimamisha alinielewa sembuse hayo ma STL. Tuwaache hawa wafanye yao ila tuwasaidie kuwa salama.
 
Mtoa mada kaposti, ndo ufala wa watanzania, kutetea maovu.
Unless hujui maana ya majungu (kutengeneza stori ovu ya kukandamiza bila ushahidi)
Hapa mchana kweupee na picha ya ushahidi juu!
Hapo Buguruni ,pengine hiyo STL mtu anakimbizwa kwa mganga wa kienyeji!
 
hii picha ni nzuri ukiielezea hivyo, but ukienda mahakamani huwezi shinda kesi hapo! haionyeshi gari linatembea, ila limesimama, so dereva anaweza jitetea gari liliharibika akapaki pembeni kuondoa msongamano.

though sio service road, but inaruhusiwa kuweka pembeni mwa barabara
Kwaio unategemea gari inaweza kupigwa picha na ikaonekana inatembea?
 
Mtoa mada kaposti, ndo ufala wa watanzania, kutetea maovu.
Unless hujui maana ya majungu (kutengeneza stori ovu ya kukandamiza bila ushahidi)
Hapa mchana kweupee na picha ya ushahidi juu!
Hapo Buguruni ,pengine hiyo STL mtu anakimbizwa kwa mganga wa kienyeji!
Unaposema pengine kinadhihirisha kutokuwa na uhakika mkuu. Na ndio majungu hayo
 
Binafsi

Watz tunazidi majungu. Kuna siku nilikuwa namkimbiza mwanangu Hosp ya kcmc kutoka mikoa ya kati nilikuwa nakimbia sana. Na kila askari aliyenisimamisha alinielewa sembuse hayo ma STL. Tuwaache hawa wafanye yao ila tuwasaidie kuwa salama.
Km Kuna wahuni ni Hawa madereva wa uma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom