masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,668
- 14,683
Usipindishe ukweli kwa kurusha mchanga machoni, usitetee uovu unaoweza kusababisha mauti barabarani.Unaposema pengine kinadhihirisha kutokuwa na uhakika mkuu. Na ndio majungu hayo
Usipindishe ukweli kwa kurusha mchanga machoni, usitetee uovu unaoweza kusababisha mauti barabarani.Unaposema pengine kinadhihirisha kutokuwa na uhakika mkuu. Na ndio majungu hayo
It is always a qn of fact bro...Huko unakotanua ukigonga na kuua mtu, ndo utajua andazi sio kitumbua.
Sorry mkuu Masopakyindi nimekusoma.Usipindishe ukweli kwa kurusha mchanga machoni, usitetee uovu unaoweza kusababisha mauti barabarani.
Kwaio unategemea gari inaweza kupigwa picha na ikaonekana inatembea?
Tatizo wengine wanabwabwaja tuu humu kuna kitu hatuelewi. Ni kweli sheria zipo, ila jiulize nani kazitunga? Kwa nini kuna magari yanapita njia ya mwendo kasi na hayakamatwi? Kwa nini kuna watu wanapita kwenye mataa bila kujali kama iko red au green? Tena traffic inabidi asimamishe watumiaji wengine ili watu flani wapite? Kuna magari yanaweza kuvunja hizo sheria tena ikasababisha ajali akakugonga, lakini mkifika mbele ya sheria sheria hiyo hiyo inakugeukia wewe ndo umekosea ulikuwa unahatarisha usalama wa wakubwa wa nchi.
Mambo mengine tujifunze kunyamaza.
Mkuu wanaoteteana hapa wote ni madereva wanaotenda makosa hayo kila siku.Watu mmekwishazoea uvunjaji sheria mpaka imekuwa kawaida akili mwenu. Imekuwa utamaduni... Kwa kweli hali ni mbaya sana. Yaani mtu anaye-expose mabaya anakuwa mbaya yeye! Mungu tuokoe na ushetani huu.
Wewe utakuwa ni highway engineer maana bila hivyo usingejua 'mabega ya barabara' ni nini!View attachment 1039189
Imetokea muda huu, Buguruni
STL 6258.
Si kuvunja sheria tu kwa kutanua kushoto, bali hata kuharibu mabega ya barabara.
ID yako Kama Kijiji fulani huko SHINYANGAView attachment 1039189
Imetokea muda huu, Buguruni
STL 6258.
Si kuvunja sheria tu kwa kutanua kushoto, bali hata kuharibu mabega ya barabara.
Kwetu Bariadi, Nguliati.
1.Sio lazima taa za breki zikiwaka gari iwe imesimama. Hata ukiendesha 100kph ukigusa breki tu taa za breki zinawaka.brother hiyo picha inamambo mengi sana!
1. taa za breki zimewaka kuonyesha gari imesimama
2. double hazard huwaka na kuzima so unaweza jitetea picha imepigwa wakati taa zilikuwa zimezima
3. refective triangle inatakiwa iwe 3 - 5 m kutoka kwenye gari. sasa kutoka kwenye kamera mpaka lilipo gari hazijafika mita 5 mtu anaweza jitetea triangle ipo nyuma ya kamera
Kama uko makini unaweza kusoma kuna sehemu barabara zimeandikwa. Mfano 'NO HARD SHOULDER FOR 500M'Wewe utakuwa ni highway engineer maana bila hivyo usingejua 'mabega ya barabara' ni nini!
Wewe utakuwa ni highway engineer maana bila hivyo usingejua 'mabega ya barabara' ni nini!
View attachment 1039189
Imetokea muda huu, Buguruni
STL 6258.
Si kuvunja sheria tu kwa kutanua kushoto, bali hata kuharibu mabega ya barabara.
Hata hakusoma kakurupuka kukupinga,,,Kama alivyokurupuka kuleta mada....|
brother soma mstari wa mwisho wa maelezo yangu
Mijitu mijinga mijinga kama ninyi ndo mnafikiri mwaweza fanya lolote polisi hawaoni.Hata hakusoma kakurupuka kukupinga,,,Kama alivyokurupuka kuleta mada....
Ovyo kabisa sijui kwann watz tumekuwa na roho za kuchomeana hivi...kweli njaaa ndio msingi wa shida zote
Sent using Jamii Forums mobile app