Gari la serikali STL 6258 likivunja sheria!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,486
24,601
20190306_112224.jpg

Imetokea muda huu, Buguruni
STL 6258.

Si kuvunja sheria tu kwa kutanua kushoto, bali hata kuharibu mabega ya barabara.
 
hii picha ni nzuri ukiielezea hivyo, but ukienda mahakamani huwezi shinda kesi hapo! haionyeshi gari linatembea, ila limesimama, so dereva anaweza jitetea gari liliharibika akapaki pembeni kuondoa msongamano.

though sio service road, but inaruhusiwa kuweka pembeni mwa barabara
 
hii picha ni nzuri ukiielezea hivyo, but ukienda mahakamani huwezi shinda kesi hapo! haionyeshi gari linatembea, ila limesimama, so dereva anaweza jitetea gari liliharibika akapaki pembeni kuondoa msongamano.

though sio service road, but inaruhusiwa kuweka pembeni mwa barabara
wewe nae, hio ni service road?? unaishi wapi rafiki
 
mwache mwenye mamlaka apitee........IYO gari ya mbele yako ilobeba VIROBA vina nini ndani mwakee?

............Just mind your own business ........
 
Tatizo wengine wanabwabwaja tuu humu kuna kitu hatuelewi. Ni kweli sheria zipo, ila jiulize nani kazitunga? Kwa nini kuna magari yanapita njia ya mwendo kasi na hayakamatwi? Kwa nini kuna watu wanapita kwenye mataa bila kujali kama iko red au green? Tena traffic inabidi asimamishe watumiaji wengine ili watu flani wapite? Kuna magari yanaweza kuvunja hizo sheria tena ikasababisha ajali akakugonga, lakini mkifika mbele ya sheria sheria hiyo hiyo inakugeukia wewe ndo umekosea ulikuwa unahatarisha usalama wa wakubwa wa nchi.

Mambo mengine tujifunze kunyamaza.
 
Punguza mipovu jombaa hata awemo waziri, hakuna aliye juu ya sheria sawa??

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna aliye juu ya sheria kimaandishi, lakini njoo mtaani in reality utajua kuna watu wako juu ya sheria. KAMA HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA KWA NINI MAWAZIRI NA VIGOGO WENGINE HAWAKAI KWENYE FOLENI? KWA NINI WANAPITA BARABARA YA MWENDOKASI? KWA NINI MAGARI YA JESHI YANAVUNJA SHERIA YANAWEZA KUPITA BARABARA YA ONE WAY UPANDE AMBAO MAGARI YANAENDA WAO WANATOKEA HUMO, NA MTAWAPISHA? JIFANYE MJANJA USIWAPISHE, ALAFU UONE.
 
Back
Top Bottom