Gari la serikali STL 6258 likivunja sheria!

Gari la serikali STL 6258 likivunja sheria!

Ni unaa tuu, huo.mda wa kuchukua simu yako kupiga pic hilo gari bora ungefanyia mambo mengine ya maana, kiherehere cha nini au huna gari? Kila muendesha gari huvunja sheria kwa namna moja au nyingine!
 
Hahaha usiposti tena mambo ya umbea... Cheki sasa kila mtu amekudharau
 
tatizo hujajua umo ndani kabeba mutu gani na inakwenda wapi ..ni nadra sanaaa kufanya ivyo especially ipo fully tintented ujue ilkn nahisi itakuwa alikuwa anawahi ndege isimuache ..
So! Watanzania wengi bado hawajui sheria walau za msingi! FYI, hiyo gari haina privilege ya kukiuka sheria hata kama Jiwe limo humo ndani!
 
upuuuzi tu unajua nani yupo ndani, ? kabeba nin? anawahi wapi? nani aneendesha? ..ni kweli hati ya serikali?..is it a matter of life and death?...kam hun majib siku nyingin usipost upuuz kam huu

Wewwe ndie mpuuzi : kama kabeba mgonjwa kuna utaratibu wake washa taa kubwa washa hazard watu wajue ni emergency kama una wahi wasiliana na usalama barabarani yapitishe magari ili ST isikae kwenye foleni usitete upumbavu unaofanywa na madereva
 
upuuuzi tu unajua nani yupo ndani, ? kabeba nin? anawahi wapi? nani aneendesha? ..ni kweli hati ya serikali?..is it a matter of life and death?...kam hun majib siku nyingin usipost upuuz kam huu
Sio upuuzi anatuaribia barabara hana adabu kwa nini apaki kwenye hizo kingo za barabara au aendeshee huko.Apewe onyo iwe kwa watu wengine waheshimu raslimali za Taifa na sio vinginevyo.
 
upuuuzi tu unajua nani yupo ndani, ? kabeba nin? anawahi wapi? nani aneendesha? ..ni kweli hati ya serikali?..is it a matter of life and death?...kam hun majib siku nyingin usipost upuuz kam huu
Hakuna kitu kama hicho hacha kubweka.Kwani si sheria imevunjwa?Kama kuna exception ndo mseme so kukamua kamasi tu
 
Back
Top Bottom