Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,405
- 30,397
- Thread starter
- #121
Mkuu inabidi wananchi wawe vigilant ili kuondoa ushamba wa madaraka, na watu kujigikitia kuwa wsko juu ya sheria.Naona watu wengi mnamzodoa mtoa mada...mtoa mada cku nyingine jaribu kudadisi nani yupo ndani ya gari...hiyo gari hata ingekugonga wewe ungeshangaa wewe ndo unashtakiwa kwa kuhatarisha usalama wa nchi...nishawahi kutana na case kama yako kuchungulia ndani nikamwona mzee baba mmoja nikikutajia hapa huwezi amini