Don njinji
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 688
- 1,556
Kaka Ni ugumu wa maisha na hali ya kukosa Cha kufanya imefanya wengi wajisahau...yaani mtu anavunja sheria ili kumchomea mwenzie anaevunja sheria...Wengi wa wachangiaji inaonekana hawajui Serikalini mifumo yao ya kazi ipoje. Wao wanafikiri dereva anajiamulia tu kuvunja sheria za barabarani.
Mda mwengine inapigwa simu kutoka juu, ndani ya dakika fulani muwe tayari mmeshafika.
Sent using Jamii Forums mobile app