Gari la serikali STL 6258 likivunja sheria!

Gari la serikali STL 6258 likivunja sheria!

upuuuzi tu unajua nani yupo ndani, ? kabeba nin? anawahi wapi? nani aneendesha? ..ni kweli hati ya serikali?..is it a matter of life and death?...kam hun majib siku nyingin usipost upuuz kam huu
Mjinga nini?
Mnafikiri hizi barabara zinajengwa kwa hela zenu mdereva wa magari ya umma?
KODI ZETU MSIZICHEZEE!
 
Tatizo wengine wanabwabwaja tuu humu kuna kitu hatuelewi. Ni kweli sheria zipo, ila jiulize nani kazitunga? Kwa nini kuna magari yanapita njia ya mwendo kasi na hayakamatwi? Kwa nini kuna watu wanapita kwenye mataa bila kujali kama iko red au green? Tena traffic inabidi asimamishe watumiaji wengine ili watu flani wapite? Kuna magari yanaweza kuvunja hizo sheria tena ikasababisha ajali akakugonga, lakini mkifika mbele ya sheria sheria hiyo hiyo inakugeukia wewe ndo umekosea ulikuwa unahatarisha usalama wa wakubwa wa nchi.

Mambo mengine tujifunze kunyamaza.
Mkuu kunyamaza kwa hii blatant disregard of the Law is tantamaount to chickenism.
Huyu muendesha gari hili la serikali hata kama ni mkubwa ajue kuwa akiua mtu barabarani kwa matumizi mabaya ya barabara , bado hana kinga kuua,
Na ndio maana sharia zipo ili uwepo ustaarabu.
 
tatizo hujajua umo ndani kabeba mutu gani na inakwenda wapi ..ni nadra sanaaa kufanya ivyo especially ipo fully tintented ujue ilkn nahisi itakuwa alikuwa anawahi ndege isimuache ..
Mkuu emergency kama hizo zinatupata wengi, hasa Buguruni ukiwahi Airport.
Mtu unatelemka na kuchukua bodaboda!
 
Pamoja na kubishana humu ila sheria inadai imevunjwa na iko wazi kuwa mvunja sheria anahitaji adhabu, wala haisemi kama ni jiwe yupo ndani basi aendee tu kuvunja.
 
upuuuzi tu unajua nani yupo ndani, ? kabeba nin? anawahi wapi? nani aneendesha? ..ni kweli hati ya serikali?..is it a matter of life and death?...kam hun majib siku nyingin usipost upuuz kam huu

Wapi imeandikwa kuwa na haraka, kuwahi, kubeba mzigo maalumu etc ni ruhusa kuvunja sheria?... siku nyingine usituletee upuuzi wako kama huo.
 
upuuuzi tu unajua nani yupo ndani, ? kabeba nin? anawahi wapi? nani aneendesha? ..ni kweli hati ya serikali?..is it a matter of life and death?...kam hun majib siku nyingin usipost upuuz kam huu
Hata akiwa na nani hakuna aliye juu ya sheria we boya
 
hii picha ni nzuri ukiielezea hivyo, but ukienda mahakamani huwezi shinda kesi hapo! haionyeshi gari linatembea, ila limesimama, so dereva anaweza jitetea gari liliharibika akapaki pembeni kuondoa msongamano.

though sio service road, but inaruhusiwa kuweka pembeni mwa barabara
Umekariri sheria wew !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuku wa mzee juma kala mchele wa mzee juma. Jioni kuku kaliwa na mzee juma.
 
hii picha ni nzuri ukiielezea hivyo, but ukienda mahakamani huwezi shinda kesi hapo! haionyeshi gari linatembea, ila limesimama, so dereva anaweza jitetea gari liliharibika akapaki pembeni kuondoa msongamano.

though sio service road, but inaruhusiwa kuweka pembeni mwa barabara

Patamu hapa nimepapenda, Mkuu wewe ungeweza kumwokoa hata yule wa shangingi la mbuzi wa christmas mwakajana
 
Majibu ya madereva humu ndani yanashabihiana.
Wanatetea kuvunja sheria na kuharibu barabara.

Kamanda Musilimu na TANROADS, lazima wachukue hatua kwa huu ushuhuda wa msamaria mwema.
Kweli mkuu, wanaopiga makelele hapa mtandaoni ni madereva wanaovunja hizi sharia.
 
Ndio maana 4x4 utility vehicle inakuwahisha kwenye impossible
 
Back
Top Bottom