Gari la serikali STL 6258 likivunja sheria!

Gari la serikali STL 6258 likivunja sheria!

Hili boyoyo.....litakua maskin LA kutupa kuanzia akili sasa wew ukimuharibia huyo dereva familia yake ikale wapi acha upimbi wwe[emoji40][emoji40]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili boyoyo.....litakua maskin LA kutupa kuanzia akili sasa wew ukimuharibia huyo dereva familia yake ikale wapi acha upimbi wwe[emoji40][emoji40]

Sent using Jamii Forums mobile app
Upimbi wa kijinga ni kujifanya mjanja na kuwafikiria wengine wanaofuata sheria ni wajinga.
Kwa ujinga wsko utachekelea kama mwehu huuo dereva akimgonga meenda kwa miguu huko pembeni.
 
Tatizo wengine wanabwabwaja tuu humu kuna kitu hatuelewi. Ni kweli sheria zipo, ila jiulize nani kazitunga? Kwa nini kuna magari yanapita njia ya mwendo kasi na hayakamatwi? Kwa nini kuna watu wanapita kwenye mataa bila kujali kama iko red au green? Tena traffic inabidi asimamishe watumiaji wengine ili watu flani wapite? Kuna magari yanaweza kuvunja hizo sheria tena ikasababisha ajali akakugonga, lakini mkifika mbele ya sheria sheria hiyo hiyo inakugeukia wewe ndo umekosea ulikuwa unahatarisha usalama wa wakubwa wa nchi.

Mambo mengine tujifunze kunyamaza.
Nji hii pekee ndo Ina uboya huu ulioandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kweli ni MWAKIPUMBU, unatokea wapi Mwakaleli walikozoea kupanda matrela ya matrekta wakienda shambani?
AMKA, hapa ni mjini na mjini kuna sheria za barabarani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukojeee!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom