Baba Ndubwi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 1,276
- 2,060
haa haa haaa wahuni sio watu wazurii
Kuna mizigo yako humoha ha ha umewaza mbali
Badala yake wakukuta ni crude oil, wakasepa.Walijua ni tanker la mafuta?!!!
ha ha hapana mkuu halafu ujue hayo ndiyo huzalishaga kambale ndiyo maana me siwalagiKuna mizigo yako humo
Hujui vitu vitamu wwha ha hapana mkuu halafu ujue hayo ndiyo huzalishaga kambale ndiyo maana me siwalagi
hapana kwa kweli nikiwazaga wanapotoka moyo unagoma kupokeaHujui vitu vitamu ww
Hujala mnofu wa kambale wwhapana kwa kweli nikiwazaga wanapotoka moyo unagoma kupokea
hapana kabisa siweziiiii siwezi walinishindaHujala mnofu wa kambale ww
Mzigo unaelekea ulikuwa mzito sana na gesi nyingi hadi get valve ikashinda kuhimili kishundo!Gari la Maji taka likiwa linamwaga Maji taka mataa ya Ubungo haikufahamika mara moja kama ilitokea itilafu au laah!
Huambiwi km kambale ww unakuta kwny menu fish fillet with mapochopocho unakula unajirambahapana kabisa siweziiiii siwezi walinishinda
Vijana wale walidhani ni mafuta. Kufungua tu wakakuta......Mbona koki ipo parallel na pipe, inaonyesha ilifunguliwa
Usijali baby ukiwa na mimi ni mwendo wa burger,pizza,eat some more,azam cola, na vidude vingine Vitam Vitamuuuu [emoji39]hapana kabisa siweziiiii siwezi walinishinda