Unaongelea trend na reli za wapiii hapa Tz au nchi za huku nilipo me mzee baba #CHINA kama za hapo kwenu Tz ni njaa za dereva tuuu Hakuna ufundi stad wala Uzumaki mzee
 
Naomba kujuzwa

Je, ni nini kinasababisha gari kukwama wakati wakati wa kuvuka reli pindi treni inapokaribia?
Mara nyingi watu hua wanaiforce gar kwa nguvu na kuifanya kua na hofu ivyo kuoelekea gar kuzima gafla so ukiwa relin don't panick relax
 
Naomba kujuzwa

Je, ni nini kinasababisha gari kukwama wakati wakati wa kuvuka reli pindi treni inapokaribia?
Magnetism theorem .. Nguvu ya uvutano wa engine ya treni ni kubwa na inatoa sumaku kubwa kuliko engine ya gari hivyo automatically huikosesha nguvu engine ndogo na kupelekea kuzima
 
Kuna kitu kitaalam kinaitwa dramafotic fraut saued ambayo kwa ufupi sana na nikitumia lugha nyepes ya watu wote kuelewa hali hiyo inatokana na malg net ya rel kua nakiwango kikubwa cha grouy soulr enarlg ambayo huvuta couk valve za maung grill gar na hapo hapo reul gaug ambazo zinakua adjust na bioj glue statir. Kwa pamoja zikivutwa zinaleta hali ya druill over inner hali hiyo hupeleka buop bumb kujaa swup bob nying kias cubiq 1/4 kipind unavuta mafuta gran test zinakua low pump na hupelekea ku over late speed nadhan nimeeleweka vyema au nifafanue zaidi
Umeandika kitaalam sana muhandisi
 
Umeandika upuuzi mtupu nothing else.
 
Ha ha ha...
Mwalim kashasha
 
Back
Top Bottom