Gari imegoma kuwaka, abiria akaomba kushuka

Wasalaam

Nilipata nafasi ya kusafiri na abiria wangu, tumepumzika kituo cha kwanza nataka kuwasha gari tuendelee na safari kukidhi ombi la abiria wangu, gari ikagoma

Tukagusanisha nyaya zote wapi hata cheche hamna.

Hali hii iliniacha kwebye fedheha na simanzi, japo abiria wangu aliomba kushuka huku akijitahidi kukwepa kunilaumu dereva wake,nadhani alinihurumia pia, na kuniambia nisihofu tutapata wasaa mwingine wa kusafiri tena, lakini hali hii imeniumiza sana gari limekuja kuwaka asubuhi nikiwa peke angu

Wasafiri wenzangu naomba mawazo yenu. Mnatumia njia gani kuwash gari na kuwaka punde tu mnapokua mlilizima kwa mapumziko ya muda mfupi.

Asanteni naomba kuwasilisha
Kama engine (mwili) haina shida itakuwa mafuta mkuu. Uwe unajaza mafuta yenye ubora. Ukiweka yaliyochachuliwa ni shida sana. Kila siku jaza tikiti maji na mbegu zake, parachichi, tangawizi na achana na kujaza majunk.
 
acha kabisa, kwa baridi la Arusha hakuna mahali napewa nafasi ya kuingia JF, tusubiri tu mkuu maana hili baridi limeshuka kwa hasira na mwendo wa 5G..ila nitajitahidi kueleza hisia za wadau kama wewe kwa mmiliki aweze kunipa nafasi walau kiduchu niingie usiku wa ma8

hope all is good with you lakini
Mkuu gari yangu imezingua betri kidogo sababu ya hili baridi, unaweza kuja kuniboost safari iendelee?
 
Acha kabisa, kwa baridi la Arusha hakuna mahali napewa nafasi ya kuingia JF, tusubiri tu mkuu maana hili baridi limeshuka kwa hasira na mwendo wa 5G..ila nitajitahidi kueleza hisia za wadau kama wewe kwa mmiliki aweze kunipa nafasi walau kiduchu niingie usiku wa ma8

hope all is good with you lakini
Pamoja mkuu
Naona mmiliki anakomaa gari lisizime
 
Pole sana mkuu, angetakiwa akuelewe imejensi za hivyo zipogo.

Ila nikuulize... Huyo abiria ilikua ndio mara ya kwanza kupanda kwa gari yako au hua unampakia mara nyingi.
Huwa nampakia lakini huwa tunapumzika sana mpaka kuanza safari nyingine...yaani kama tumepumzika usiku...ni alfajiri kuanza safari tena
 
Kuna siku naendesha Teksi Bubu fulani hivi ya mtaani namba CD, ghafla nikaanza kuona leakage ya grisi nyekundu kwenye chesis halafu eksozi inatoa harufu kiasi kwamba unahisi kuna mbolea ya samadi inaungua.

Haikunichukua dakika 15 usukani unalala yoò na kushindwa kuendelea na safari.
Ndaaah aisee huu uzi ni balaa , mkuu umeua
 
Mkuu siku nyingine gari ikigoma kuwaka jitahidi uwe unashtulia kwenye gia. Hii ni mbinu ambayo hua inasaidia saana pale gari inapogoma kuwaka wakati haina tatizo lolote. Hii unatakiwa uipandishe gari kwenye kamlima kale ambako kapo juu ya pango, halafu unakua unaitikisa tikisa gari ili kuchangamsha engine na kufanya mafuta yachanganyike vizuri. Ukiona kama gari inaanza kupata moto unaisukumia bondeni kwa nguvu itawakia huko huko..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom