Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,864
- 41,228
Vizuri jje'shapana jamani, ningekuwa mimi lazima ningelishtua liondoke...weeee mimi mtaalamu bhana
siwezi mtelekeza dereva kisa gari limegoma,,,tutapambana hadi kieleweke
Vizuri jje'shapana jamani, ningekuwa mimi lazima ningelishtua liondoke...weeee mimi mtaalamu bhana
siwezi mtelekeza dereva kisa gari limegoma,,,tutapambana hadi kieleweke
Hii nayo ni sababu moja wapo "uchovu", nyingine huwa ni hofuLabda kwa sababu kabla ya safari nilikua nimetoka nafanya kazi ngumu...i guesa inaweza kuwa sababu
Kama engine (mwili) haina shida itakuwa mafuta mkuu. Uwe unajaza mafuta yenye ubora. Ukiweka yaliyochachuliwa ni shida sana. Kila siku jaza tikiti maji na mbegu zake, parachichi, tangawizi na achana na kujaza majunk.Wasalaam
Nilipata nafasi ya kusafiri na abiria wangu, tumepumzika kituo cha kwanza nataka kuwasha gari tuendelee na safari kukidhi ombi la abiria wangu, gari ikagoma
Tukagusanisha nyaya zote wapi hata cheche hamna.
Hali hii iliniacha kwebye fedheha na simanzi, japo abiria wangu aliomba kushuka huku akijitahidi kukwepa kunilaumu dereva wake,nadhani alinihurumia pia, na kuniambia nisihofu tutapata wasaa mwingine wa kusafiri tena, lakini hali hii imeniumiza sana gari limekuja kuwaka asubuhi nikiwa peke angu
Wasafiri wenzangu naomba mawazo yenu. Mnatumia njia gani kuwash gari na kuwaka punde tu mnapokua mlilizima kwa mapumziko ya muda mfupi.
Asanteni naomba kuwasilisha
Mkuu gari yangu imezingua betri kidogo sababu ya hili baridi, unaweza kuja kuniboost safari iendelee?acha kabisa, kwa baridi la Arusha hakuna mahali napewa nafasi ya kuingia JF, tusubiri tu mkuu maana hili baridi limeshuka kwa hasira na mwendo wa 5G..ila nitajitahidi kueleza hisia za wadau kama wewe kwa mmiliki aweze kunipa nafasi walau kiduchu niingie usiku wa ma8
hope all is good with you lakini
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 nahisi sina nguvu mkuu, uck wote nilikuwa kazini so nahisi nguvu hazipo za kutosha..jaribu kutafuta abiria mwinginemkuu gari yangu imezingua betri kidogo sababu ya hili baridi, unaweza kuja kuniboost safari iendelee?
Pamoja mkuuAcha kabisa, kwa baridi la Arusha hakuna mahali napewa nafasi ya kuingia JF, tusubiri tu mkuu maana hili baridi limeshuka kwa hasira na mwendo wa 5G..ila nitajitahidi kueleza hisia za wadau kama wewe kwa mmiliki aweze kunipa nafasi walau kiduchu niingie usiku wa ma8
hope all is good with you lakini
Asante mkuuHali ya kawaida tu ila ikiwa mara kwa mara nenda kamuone daktari
Huwa nampakia lakini huwa tunapumzika sana mpaka kuanza safari nyingine...yaani kama tumepumzika usiku...ni alfajiri kuanza safari tenaPole sana mkuu, angetakiwa akuelewe imejensi za hivyo zipogo.
Ila nikuulize... Huyo abiria ilikua ndio mara ya kwanza kupanda kwa gari yako au hua unampakia mara nyingi.
Inazimaje na mtaalamu nipo jamanPamoja mkuu
Naona mmiliki anakomaa gari lisizime
Hukujisikia vibaya lakiniMie ilinikuta na abiria wangu alikuwa kama wako,aliniambia tutapata wasaa mwingine
Hukujisikia vibaya lakiniMie ilinikuta na abiria wangu alikuwa kama wako,aliniambia tutapata wasaa mwingine
Ni stafu mkuuAbilia alilipa nauli?
Kabisa...Huwa inatokea, na inahitaji uvumilivu...
,Hapana jamani, ningekuwa mimi lazima ningelishtua liondoke...weeee mimi mtaalamu bhana
siwezi mtelekeza dereva kisa gari limegoma,,,tutapambana hadi kieleweke
Niambie kilichokuchekesha na mimi nicheke joline
Ndaaah aisee huu uzi ni balaa , mkuu umeuaKuna siku naendesha Teksi Bubu fulani hivi ya mtaani namba CD, ghafla nikaanza kuona leakage ya grisi nyekundu kwenye chesis halafu eksozi inatoa harufu kiasi kwamba unahisi kuna mbolea ya samadi inaungua.
Haikunichukua dakika 15 usukani unalala yoò na kushindwa kuendelea na safari.
Mkuu siku nyingine gari ikigoma kuwaka jitahidi uwe unashtulia kwenye gia. Hii ni mbinu ambayo hua inasaidia saana pale gari inapogoma kuwaka wakati haina tatizo lolote. Hii unatakiwa uipandishe gari kwenye kamlima kale ambako kapo juu ya pango, halafu unakua unaitikisa tikisa gari ili kuchangamsha engine na kufanya mafuta yachanganyike vizuri. Ukiona kama gari inaanza kupata moto unaisukumia bondeni kwa nguvu itawakia huko huko..
UnammaliziaAisee umejua kunifurahisha walah, hahahhaha pole zenu wote maana na hii baridi kama gari inaleta shida ujue kuna shida ya ukweli.
Hahahhaaha