Gari imegoma kuwaka, abiria akaomba kushuka

Kituo cha kwanza unaweka silencer inaunguruma tuu kama Computer inavyohibernate Click moja /jino moja Chuma kimewaka .

Acha ulofa mkuu next time
 
Naona ilo gari ni jipya ulikua na hamu nalo sana uka lipania bila ata kulifanyia Service za dk 30,hili ulizoee kidogo
 
Sema abiria wako hakuwa na uvumilivu, mbona hua tunasubiri baada ya muda gari linawaka lenyewe.

Kwahiyo alivyoshuka akarequest bolt au akatembea kurudi alikotoka?
Tuliachana akionekana hajafurahishwa kabisa na kitendo hiki
 
Mwongozo ni kwamba, hakikisha gari liko salama kabla hujaanza safari yeyote..na wakati mwingine hofu huleta hizi shida wakati mlipolizima kwa mapumziko ya muda mfupi, mara unajiuliza uliendesha vizuri awamu ya kwanza au ndo udereva wako ulikuwa mbovu. Jaribu kujiamini kwanza

Teh teh nimecheka lakini, asante kwa kuweka kicheko kwenye maisha yangu leo.
Mkuu kwema muda sana sijakuona jukwaani.
Hata kule usiku wa ma8
 
Bana bana sa ukute abiria anataka kuwahi safari yake mbona utakoma utalaumiwa wewe utasikia bora ungenambia kama gar lako bovu ila i hali inabid urelax kwanza toka nje kwanza piga pushapu kumi tafuta tangawizi tafuna
 
Wasalaam

Nilipata nafasi ya kusafiri na abiria wangu, tumepumzika kituo cha kwanza nataka kuwasha gari tuendelee na safari kukidhi ombi la abiria wangu, gari ikagoma

Tukagusanisha nyaya zote wapi hata cheche hamna.

Hali hii iliniacha kwebye fedheha na simanzi, japo abiria wangu aliomba kushuka huku akijitahidi kukwepa kunilaumu dereva wake,nadhani alinihurumia pia, na kuniambia nisihofu tutapata wasaa mwingine wa kusafiri tena, lakini hali hii imeniumiza sana gari limekuja kuwaka asubuhi nikiwa peke angu

Wasafiri wenzangu naomba mawazo yenu. Mnatumia njia gani kuwash gari na kuwaka punde tu mnapokua mlilizima kwa mapumziko ya muda mfupi.

Asanteni naomba kuwasilisha
Hali ya kawaida tu ila ikiwa mara kwa mara nenda kamuone daktari
 
tuliachana akionekana hajafurahishwa kabisa na kitendo hiki
Pole sana mkuu, angetakiwa akuelewe imejensi za hivyo zipogo.

Ila nikuulize... Huyo abiria ilikua ndio mara ya kwanza kupanda kwa gari yako au hua unampakia mara nyingi.
 
Wasalaam

Nilipata nafasi ya kusafiri na abiria wangu, tumepumzika kituo cha kwanza nataka kuwasha gari tuendelee na safari kukidhi ombi la abiria wangu, gari ikagoma

Tukagusanisha nyaya zote wapi hata cheche hamna.

Hali hii iliniacha kwebye fedheha na simanzi, japo abiria wangu aliomba kushuka huku akijitahidi kukwepa kunilaumu dereva wake,nadhani alinihurumia pia, na kuniambia nisihofu tutapata wasaa mwingine wa kusafiri tena, lakini hali hii imeniumiza sana gari limekuja kuwaka asubuhi nikiwa peke angu

Wasafiri wenzangu naomba mawazo yenu. Mnatumia njia gani kuwash gari na kuwaka punde tu mnapokua mlilizima kwa mapumziko ya muda mfupi.

Asanteni naomba kuwasilisha
Mie ilinikuta na abiria wangu alikuwa kama wako,aliniambia tutapata wasaa mwingine
 
Wakati mwingine abiria huchangia gari kuwaka au kutowaka mkiwa safarini.Unakuta abiria anamikwala Ile mbaya....Mara leo nitakuonyesha kwanini nimeamua kusafir nagar yako...,Mara leo utanijua kuwa hata Mimi nidereva,....yaan dereva anajikuta kwenye hofu kubwa yakuendesha gari kutokan na vitisho vya abiria.

Kuhusu kuwaka,itawaka endapo hutoweka kichwan hayo Mambo yanayofany umwogope abiria wako
 
Mwongozo ni kwamba, hakikisha gari liko salama kabla hujaanza safari yeyote..na wakati mwingine hofu huleta hizi shida wakati mlipolizima kwa mapumziko ya muda mfupi, mara unajiuliza uliendesha vizuri awamu ya kwanza au ndo udereva wako ulikuwa mbovu. Jaribu kujiamini kwanza

Teh teh nimecheka lakini, asante kwa kuweka kicheko kwenye maisha yangu leo.
Wewe ndio ulikua abiria wake 🏃
 
Dah.. Pole mzee, sijawahi kutana na changamoto kama hiyo, mie gri ikiwaka ndio nitolee, mara nyingi huwa inawaka automatic tu.

Jaribu kupiga service mzee, check maji, au abiria alikuwa na kimavi nini!! 😂
 
Wasalaam

Nilipata nafasi ya kusafiri na abiria wangu, tumepumzika kituo cha kwanza nataka kuwasha gari tuendelee na safari kukidhi ombi la abiria wangu, gari ikagoma

Tukagusanisha nyaya zote wapi hata cheche hamna.

Hali hii iliniacha kwebye fedheha na simanzi, japo abiria wangu aliomba kushuka huku akijitahidi kukwepa kunilaumu dereva wake,nadhani alinihurumia pia, na kuniambia nisihofu tutapata wasaa mwingine wa kusafiri tena, lakini hali hii imeniumiza sana gari limekuja kuwaka asubuhi nikiwa peke angu

Wasafiri wenzangu naomba mawazo yenu. Mnatumia njia gani kuwash gari na kuwaka punde tu mnapokua mlilizima kwa mapumziko ya muda mfupi.

Asanteni naomba kuwasilisha
Tumia vumbi la kongo. Ukikosa hiyo tumia mchuzi wa pweza na karanga mbichi. Kama halitawa tena uza kama skrepa
 
Mkuu kwema muda sana sijakuona jukwaani.
Hata kule usiku wa ma8
Acha kabisa, kwa baridi la Arusha hakuna mahali napewa nafasi ya kuingia JF, tusubiri tu mkuu maana hili baridi limeshuka kwa hasira na mwendo wa 5G..ila nitajitahidi kueleza hisia za wadau kama wewe kwa mmiliki aweze kunipa nafasi walau kiduchu niingie usiku wa ma8

hope all is good with you lakini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom