Gari imegoma kuwaka, abiria akaomba kushuka

Gari imegoma kuwaka, abiria akaomba kushuka

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huu uzi umejua kunichekesha jaman halafu nilipo kelele haziruhusiwi watu wote kimyaaaa wananiangalia mimi ambavyo mbavu sina.
Haya magari muwe mnayapiga service baada ya kutembea mwendo flani. Hata kama halitembei pia service ni muhimu atii
Mwee service gani tena...tunakula vizuri,afya iko vizuri tufanye nini tena[emoji20]
 
Wasalaam

Nilipata nafasi ya kusafiri na abiria wangu,tumepumzika kituo cha kwanza nataka kuwasha gari tuendelee na safari kukidhi ombi la abiria wangu...gari ikagoma[emoji20]

Tukagusanisha nyaya zote wapi hata cheche hamna

Hali hii iliniacha kwebye fedheha na simanzi,japo abiria wangu aliomba kushuka huku akijitahidi kukwepa kunilaumu dereva wake,nadhani alinihurumia pia...na kuniambia nisihofu tutapata wasaa mwingine wa kusafiri tena...lakini hali hii imeniumiza sana...gari limekuja kuwaka asubuhi nikiwa peke angu

Wasafiri wenzangu naomba mawazo yenu...mnatumia njia gani kuwash gari na kuwaka punde tuu mnapokua mlilizima kwa mapumziko ya muda mfupi

Asanteni naomba kuwasilisha
Kuna abiria huwa ni wa hovyo, magari mengine kuwaka huitaji ku-push-wa kidogo kwa vurugu vurugu za abiria bila kushika usukani.. sasa abiria wa hovyo hukaa kivulini na kushika shika usukani na kuulia vipi tatizo nini au kuelezea haraka yao ya kutaka kuondoka na ndo shida inazidi.. ilitokea nikatoka nje nikala kipupwe kidogo nikahamisha hisia nilivyorud ndan nikaona kama abiria mpya, kuweka siti yake vizuri nikamsogeza nikatia funguo, imo..

Safari ikaendelea akasuka kituo baada ya dkk kama 5 hivi aakashukuru na mimi nikaelekea parking dkk ya 6 au 7 nikashuka nikamuambia tukatafute chakula kwanza.. tukaenda story njiani, kula, kurudi safari mpyaa..Ikumbukwe, kwenye chakula nilichoropoka kama naenda kutoa ela nikamuambia nisubiri nikatanguliza ugali nyama choma peke yangu na wese-nyagi kichupa kidogo halafu tukaja kula chipsi wote ndio tukarudi nyumbani, aliomba maji.!
 
Alionekana kama nimemdhurumu kitu...japo aliondoka kwa simanzi
Aisee umejua kunifurahisha walah, hahahhaha pole zenu wote maana na hii baridi kama gari inaleta shida ujue kuna shida ya ukweli.

Hahahhaaha
 
kuna abiria huwa ni wapuuzi, magari mengine kuwaka huitaji ku-push-wa kidogo kwa vurugu vurugu za abiria bila kushika husukani.. ss abiria wa hovyo hukaa kivulini na kushika shika usukani na kuulia vipi tatizo nini au kuelezea haraka yao ya kutaka kuondoka na ndo shida inazidi.. ilitokea nikatoka nje nikala kipupwe kidogo nikahamisha hisia nilivyorud ndan nikaona kama abiria mpya, kuweka siti yake vizuri nikamsogeza nikatia funguo, imo.. safari ikaendelea akasuka kituo baada ya dkk kama 5 hivi aakashukuru na mimi nikaelekea parking dkk ya 6 au 7 nikashuka nikamuambia tukatafute chakula kwanza.. tukaenda story njiani, kula, kurudi safari mpyaa..Ikumbukwe, kwenye chakula nilichoropoka kama naenda kutoa ela nikamuambia nisubiri nikatanguliza ugali nyama choma peke yangu na wese-nyagi kichupa kidogo halafu tukaja kula chipsi wote ndio tukarudi nyumbani, aliomba maji.!
Huenda gari yako unaijulia vizuri, mshauri mwenzako awe anapeleka service gari yake bhana asiwe anauzi abiria next time.
 
Hapana mkuu...huwa nina taratibu ya kukaa sana mapumziko kabla ya safari...huko nyuma nolikuwa naweza kupita kituo kimoja bila kusimama...au ningesimama dakika chache tuu kuchukua maji...tena mimi na abiria tukiwa garini
Labda gari nayo inaelekea kuzeeka pia ujue, gari mpya sio sawa na kuu kuu

Jaribu kuipiga service nzuri huwa inasaidia pia
 
pls Lenie duuuh hahahahahahahha nahisi alirudi alikotoka, sio rahisi kupata usafiri mpya mapema hivyo
Ila kuna boda boda muda wote ziko barabarani, huonagi magari yakizima tu abiria wanamtosa dereva wanakwea boda wawahi.

Wachache wenye utu ndio wanamsaidia dereva kusukuma gari
 
Ila kuna boda boda muda wote ziko barabarani, huonagi magari yakizima tu abiria wanamtosa dereva wanakwea boda wawahi.

Wachache wenye utu ndio wanamsaidia dereva kusukuma gari
Kwa kweli
 
Huwa inatokea kama abiria uliyenaye hajakuvutia, na pengine wakati unaendesha gari kuna vitu au harufu ya mafuta yanayoungua yalikutoa mood ya kuendesha gari.
Kuna siku naendesha Teksi Bubu fulani hivi ya mtaani namba CD, ghafla nikaanza kuona leakage ya grisi nyekundu kwenye chesis halafu eksozi inatoa harufu kiasi kwamba unahisi kuna mbolea ya samadi inaungua.

Haikunichukua dakika 15 usukani unalala yoò na kushindwa kuendelea na safari.
 
Wasalaam

Nilipata nafasi ya kusafiri na abiria wangu,tumepumzika kituo cha kwanza nataka kuwasha gari tuendelee na safari kukidhi ombi la abiria wangu...gari ikagoma[emoji20]

Tukagusanisha nyaya zote wapi hata cheche hamna

Hali hii iliniacha kwebye fedheha na simanzi, japo abiria wangu aliomba kushuka huku akijitahidi kukwepa kunilaumu dereva wake,nadhani alinihurumia pia...na kuniambia nisihofu tutapata wasaa mwingine wa kusafiri tena...lakini hali hii imeniumiza sana...gari limekuja kuwaka asubuhi nikiwa peke angu

Wasafiri wenzangu naomba mawazo yenu...mnatumia njia gani kuwash gari na kuwaka punde tuu mnapokua mlilizima kwa mapumziko ya muda mfupi

Asanteni naomba kuwasilisha
Mkuu siku nyingine gari ikigoma kuwaka jitahidi uwe unashtulia kwenye gia. Hii ni mbinu ambayo hua inasaidia saana pale gari inapogoma kuwaka wakati haina tatizo lolote. Hii unatakiwa uipandishe gari kwenye kamlima kale ambako kapo juu ya pango, halafu unakua unaitikisa tikisa gari ili kuchangamsha engine na kufanya mafuta yachanganyike vizuri. Ukiona kama gari inaanza kupata moto unaisukumia bondeni kwa nguvu itawakia huko huko..😄
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom