Gari imegoma kuwaka, abiria akaomba kushuka

Magari ya kisasa mengi ni miyeyusho sana,,,, unakuta gari kali linapendeza ila engine ndio hamna lolote,,,Usasa mwingi,,,kila mfumo ni umeme,,,,Yaani Waya kidogo tu ukicheza basi mnalala njiani,,,,na hata Oil pia Magari haya yanachagua sana,,,,na ukiweka Hydrolic ya GearBox tofauti na iliyozoea,,,,basi hata mbele haliendi,,,,

Mwambie Abiria azingatie sana kukaa vizuri kwenye Siti yake na Mkanda asisahau kuvaa....ila AC asiguse..... na Endapo Mtapata changamoto njiani wakati wewe unahangaika kusolve basi nayeye ajitahidi ku-Google ili mpate solution...

BUT USIJALI,, Tatizo likiendelea nenda kwa mafundi wa Diagnostics wakuchekie nini shida,,,wale watapima na device zao na watakueleza nini tatizo.....

Sisi wazee wa Old Schools Cars manual transmission bado tupo gado....Chuma ikizima tunasukuma Safari inaendelea,, hizi Automatic hadi uwe boosted sio Leo....Anyways POLE pia.
 
Dawa kuwashia kwenye gia tuu
For old shools fella
 
Wasalaam

Nilipata nafasi ya kusafiri na abiria wangu, tumepumzika kituo cha kwanza nataka kuwasha gari tuendelee na safari kukidhi ombi la abiria wangu, gari ikagoma[emoji20] Tukagusanisha nyaya zote wapi hata cheche hamna.

Hali hii iliniacha kwenye fedheha na simanzi, japo abiria wangu aliomba kushuka huku akijitahidi kukwepa kunilaumu dereva wake, nadhani alinihurumia pia, na kuniambia nisihofu tutapata wasaa mwingine wa kusafiri tena, lakini hali hii imeniumiza sana gari limekuja kuwaka asubuhi nikiwa peke angu.

Wasafiri wenzangu naomba mawazo yenu. Mnatumia njia gani kuwasha gari na kuwaka punde tu mnapokua mlilizima kwa mapumziko ya muda mfupi.

Asanteni naomba kuwasilisha
DTAZv46VwAER-fu.jpg
 
Hahaah jamaa umetumia tafsida kubwa sana
 
Mkuu pengine mafuta hayatoshi ulitakiwa kubeba mafuta mengi na busta za vidumu husaidia pale mafuta yanapokata
 
Kule twitte? kuna mada kama hizi kama una kichwa maji unaweza ku reply kitu OP!🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom