OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Unajua kuna watu wanadhanu gari zinatumia sijui maji...hizo za kutumia mafufa kidogo unakuta safari ndefu hazihimili lazima Ikohoe so inategemea na matumzi kama mtu wa safari.nashauri.achukie gari yenye injini ya uhakika.
Alteza yenye bemas 2000 IG FE engine ni nzuri haisumbui na ni imara na ikiwa highway inatumia.mafuta kidogo..vi.engine vidogo ukitaka kukimbia ndo vinatafuna wese mbaya kabisa
Kijana kamata altezza kula maisha
Ha ha haa kaka naona umeamua kumshauri kijana wako labda watu wanataka anunue 4E-FE ili anuse wese,kimbembe safarini sasa kanavuma mpaka body na dashboard unavisikia!!!!!!!
Kwa gari za kijapani saloon naweza kuthubutu kusema BEAMS 2000 ni habari nyingine kabisa!!!!!!!
Labda kama huyu jamaa hana safari ndefu yaani wale wa kuzaliwa kigogo na wazazi wako hapo hapo babu na bibi wanaishi Mbezi kwa Yusuph na yeye kapanga Magomeni Mapipa kazi anafanyia Kariakoo hapo utamu BEAMS atausikia kwa watu tu!!!!!