decomm
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 726
- 666
Hatari unayo kaka, speed za hvo hii kitu haikawii kupiga mtama, inakuwa kamA imeloose grip inachota...sekunde tu unaona mawingu yanazunguka mzee! Japo ni gari nzito na inaatamia barabara!
Sijafanya tena mchezo huo! (Nilijifunzia Peugeot 504 GL pickup kwenda mbio, kona za handbrake n.k, gari ya mashindano, Mwl wangu mshindi wa pili Safari Rally 1984)