gari aina ya alteza....

gari aina ya alteza....

Mmmmmh lucky you!!!!
I had one ya Hong Kong though ina body kama ya 100 ioikuwa na hiyo Engine na odo ya 220 sijawahi gusa 200km/hr as ukifika 190km/hr inavuma sana na inakosa grip ni kama inakuwa buoyant flan hivi sasa hii hatari ilikuwa kubwa kuikabili mkuu kama unapiga 200km/hr hapo RPM inakuwa ngapi sasa na.kwa nini consumption ibaki hiyo unayosema,nadhani hiyo consumption unaipatakwa speed ya 110km/hr na RPM ukae kwa 2-2.8!!!!

Much as una experience nayo twende hivyo

unajua vitu vingine tunakaa kimya tukihoji tunaonekana wabishi....220kph na corolla barabara ya mikumi.....imevimbavimba si balaa hii.....sasa kweli utatumia lita 17 moro mbeya???
 
Mimba hiyo

wenye kujua engine ya d4 na uzuri wake jiandae...
 
Watalamu wapremio d4 watakwambia utam u wa alteeza
 
Unasali parokia gani

kuna parokia wanaubiriwa uzinzi dhambi jion wamanukia condom

isiwe kwako..wela maombini haja ya moyiwako umpee ee bwana na mwanga wa alteza aitumie kwa amani wote tuseme amiiiiinaaa
 
ivi ukiwa na gari lazma uwe mzinz?
 
unajua vitu vingine tunakaa kimya tukihoji tunaonekana wabishi....220kph na corolla barabara ya mikumi.....imevimbavimba si balaa hii.....sasa kweli utatumia lita 17 moro mbeya???

Nakusoma kaka ndio maana nikasema much as anasema yeye kafanya twende naye hivyo ingawa kimazingira ngumu kidogo!!!!!!

He is a lucky fella?????!!!
 
altezza haina raha kama verrosa,gx 110,vista,premio...kamekaa kigumu gumu ndani kama ka probox...
 
Mkuu sasa kama unang'ang'ania unataka alteza sasa umekuja hapa kuomba ushauri wa nini? Hapa wataalam wanakupa uzoefu we unakuwa mbishi. Ukitaka gari ya uhakika nunuaa magari makubwa kama brevis,verosa,grande markii au mark x. Hako ka alteza kako unakang'ang'ania ni kagari kadogo ka mabishoo. Mtu maakini hawezi kununua gari ambayo hata kupanda bumps inakwangua chini.kama unanunua kwa ubishoo/kufata mkumbo sawa tena ikizingatia ni gari yako ya kwanza!

kaka mimi nataka alteza.......
 
NYAGI DRY Ukipata 4 cylinder ambayo imefungwa engine 3S ambazo zipo kwenye magari mengi na tena ukipata ambayo ni edition B ambazo ni chache sana Auto, manual zote ni B, ni pouwa sana zina features nyingi zaidi kuliko A kama Traction contral system, limited slip differential. Altezza zenye 1G ni six cylinder ambazo ndo nyingi na pia bei zake ni cheap kidogo compare to 3S. ila kama alivyokuambia dav22 kama unataka sports car angalia pia subaru legacy au B4 GT specs B utafurahia mwenyewe ila kwenye mafuta usiwe muoga kuingia petrol stations

Mkuu unapopima ukubwa wa engine jaribu kuangalia sana cc, na sio idadi ya cylinder!! Kiutaalam cylinder zinapokuwa nyingi firing order sequnce zinakuwa karibu karibu na ile power stroke delays kutoka piston moja kwenda nyingine inapungua na kufanya efficiency kuwa kubwa zaidi kwenye engine za cylinder nyingi kuliko zenye cylinder chache ..
Back to your point 1g na 3s zote ni approx 2000cc kwa matumizi nadhani hazitofautiani sana , labda kama unataka kutofautisha 1Jz na 1g au 3s.
 
Last edited by a moderator:
Sijaelewa ishu ulaji wa mafuta,fafanua vizuri

Kuna jamaa hapo nyuma alikuwa anasema Toyota Progress inakula mafuta kama ndege....ndo namwambia aache uoga Brevis, Progress, altezza, mark 2, verossa, kama unatembea chini ya km 80 ulaji wa mafuta ni km 9 kwa lita. Ila ukitembea zaidi ya Km 80 hadi 120 ulaji ni km 11.6 kwa lita
 
Kwa wale wa kuforce enjin ya haya magari alteza inaingia injini ipi?
Na cresta inakaa mark II box?
Na kuna hiyo Ijz ndio ya gari zipi?
 
Mmmmmh lucky you!!!!
I had one ya Hong Kong though ina body kama ya 100 ioikuwa na hiyo Engine na odo ya 220 sijawahi gusa 200km/hr as ukifika 190km/hr inavuma sana na inakosa grip ni kama inakuwa buoyant flan hivi sasa hii hatari ilikuwa kubwa kuikabili mkuu kama unapiga 200km/hr hapo RPM inakuwa ngapi sasa na.kwa nini consumption ibaki hiyo unayosema,nadhani hiyo consumption unaipatakwa speed ya 110km/hr na RPM ukae kwa 2-2.8!!!!

Much as una experience nayo twende hivyo

Upo sahihi, ya kwangu ni 4E FE yenye body ya 111 (Manual trans.). Kwa ulaji wa mafuta niliouelezea ni kwa speed 120 km/h rpm, mwendo wa 120Kph ndio mwendo wangu wa kawaida. ila kuna siku nilikuwa natokea Mbeya, baada ya kumaliza mbuga ya Mikumi niliovatekiwa na V8 landcruiser, nikajiambia leo ndio siku ya kuipima kama inafika 220kph au la, mwanaume nika-tail nyuma ya V8, ikaanza 140kph, 160kph nikaivuta v8, akaongeza, nikakanyaga hadi 180kph nikaanza kumvuta. Tunaitafuta Doma hapo, lami imetulia, nili-tail hadi tukafika 200kph, ikafika sehemu imenyooka, nikakanyaga hadi batini, 220kph hii hapa nikaliovateki, siku-maintain sana not even a minute, nika release accelerator, V8 ikapita, nikarudia normal speed yangu ya 120kph. Gari ukilipa sevisi inayotakiwa linakuwa zuri tu hata kama ni model ya zamani. Gari bado ilikuwa very stable ilipokuwa 210kph, nilikuwa na abiria mmoja, kwenye buti kulikuwa na kilo kama 70 hivi za mizigo. RPM ilipofika 6.5 ( x 100) ndio niliona mabadiliko kwenye mlio wa engine! AMINI USIAMINI, KUTOKA MWENGE HADI MSAMVU NI 11.6 LITA ZA PETROL NA KWINGINE KAMA NILIVYOELEZEA AWALI (LAKINI KWA WASTANI WA 120km/h)

IMG0008A.jpg
 
View attachment 133447

Hatari unayo kaka, speed za hvo hii kitu haikawii kupiga mtama, inakuwa kamA imeloose grip inachota...sekunde tu unaona mawingu yanazunguka mzee! Japo ni gari nzito na inaatamia barabara!
 
Mkuu unapopima ukubwa wa engine jaribu kuangalia sana cc, na sio idadi ya cylinder!! Kiutaalam cylinder zinapokuwa nyingi firing order sequnce zinakuwa karibu karibu na ile power stroke delays kutoka piston moja kwenda nyingine inapungua na kufanya efficiency kuwa kubwa zaidi kwenye engine za cylinder nyingi kuliko zenye cylinder chache ..
Back to your point 1g na 3s zote ni approx 2000cc kwa matumizi nadhani hazitofautiani sana , labda kama unataka kutofautisha 1Jz na 1g au 3s.

Mkuu wewe fundi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom