gari aina ya alteza....

gari aina ya alteza....

Acheni uoga Jamani. ulaji wa mafuta wa altezza, Mark II gx 100, 110, Verosa na magar meeengi ni sawa sawa tu na progress.mwendo wa kawaida ni lita 9 kwa kilometa safar ndefu ni 11.6 kwa lita. chungulia enhance-auto.jp

Sijaelewa ishu ulaji wa mafuta,fafanua vizuri
 
Ukitaka kuagiza Alteza angalia sana cc za engine nyingi zina 3000 cc ambazo zinakula mafuta kuliko hata Land cruiser V8 nakushauri uchukua Alteza ya 2000cc japo zipo chache sana na ukiagiza nje mara nyingi wajapan wanaandika ni ya 2000cc ikifika bandarini unakuta ni 3000 cc so sometimes bora uende yard uhakikishe mwenyewe
 
Ha ha ha kaka sio the best ila kwa Kijapenga na budget za kibongo anaweza asijute though ingekuwa liwalo na liwe ningemtupa kwa Compressor!!!!!

Yeah 110 Mark 11 Grande ina sababu zake kama unavyosema kuanzia shape mpaka pale ndani kwa wooden finish kwa mimi naiona ipo official sana na Altezza is more Sporty thus kwa familia na wafunga tie humu (110) anakaa safi zaid! !!!!!!

Pia ina long base ambayo naamini inaongeza stability sababu ya area covered na uzito may be!!!

Mkuu ulishaiona toyota crown? Hizo zote zinasingiziwa kwenye comfortability.
 
Nina 4E- FE cc 1332. Huu mwaka wa 3! Safari zangu Dar - Songea, Dar - Mbeya, Dar - Mpanda n.k. Kwa miaka 3 hiyo nimefikisha km. 73,000 za Mimi kutembea nayo. (Ilikuja na 80,000km sasa ipo juu kidogo ya 150,000) Gari ipo stable hata ukifika 210kph (max speed 220km/h) Ulaji petroli kutoka Dar Mwenge Puma filling station hadi Moro Msamvu puma filling station ni Lita 11.6 Moro - IRINGA Lita 17, IRINGA - Njombe Lita 16, Njombe - Songea Lita 19. Ni Corolla 111 Manual transmission. Kwa hiyo mwenye kutaka unafuu wa matumizi ya mafuta nunua gari isiyo zidi cc 1500.

Imenivutia kumbe naweza kwenda Kigoma nakurudi Dar,weka picha hali ya hiyo gari kwa sasa
 
Mkuu ulishaiona toyota crown? Hizo zote zinasingiziwa kwenye comfortability.

Yeah nimeiona though i have never used it,kwa muonekano wa nje its huge so inaeleza kuhusu uzito na utulivu wa barabarani, rare specie ingawa!!!!!

Size of the bonet inanishawaishi kuwa ina host a big machine within it pia inashawishi kuwa engine kubwa haiwezi kuwa for nothing kwa saloon car!!!!

Huwa nadhani ni kama cedric flani hivi
 
Mkuu ukiipanda hatutaka kushuka. Ukubwa wa engine usikutishe zipo engine 3 ya cc 3000, 2400 na 1980. Mimi ninayo ya 1g fe .
 
Ok hope exploration itanifikisha kwa hii mashine one day!!!
Engine ya kuzaliwa nayo hii au uliifanyia makaratee??!!
Parts za chini inaingiliana na gari gani??!!!
Spare availability ni vipi especially za chini maana hiyo engine ni service tu kwa kweli one among the durables!!!!
 
Engine ni yake zipo mpaka za beams 2000 na parts ni gx 100 shockup na vinginevyo. Ukiipata hutajuta.
 
Ukitaka kuagiza Alteza angalia sana cc za engine nyingi zina 3000 cc ambazo zinakula mafuta kuliko hata Land cruiser V8 nakushauri uchukua Alteza ya 2000cc japo zipo chache sana na ukiagiza nje mara nyingi wajapan wanaandika ni ya 2000cc ikifika bandarini unakuta ni 3000 cc so sometimes bora uende yard uhakikishe mwenyewe
Na inaweza ikawa 2000CC but ikawa ni 6-Cylinders tukarudi palepale. So nayo muhimu pia
 
Mkuu ukiipanda hatutaka kushuka. Ukubwa wa engine usikutishe zipo engine 3 ya cc 3000, 2400 na 1980. Mimi ninayo ya 1g fe .

Kuna jamaa ana VVT-I beams 2000 alitaka nimpe ushauri kama unjin ya markII ya zaman ile ya six cylinde lkn ni ndogo kama inakaa
 
Hata mfumo ni tofauti kwani vvt-I inatumia umeme sana kwa hiyo itabidi abadili vitu vingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom