gari aina ya alteza....

gari aina ya alteza....

sitakuja kununua gari kwa mtu........ntaagiza nje....mbn...cku hiz mambo mtandaoni...tu
 
Chukua Nissan march,jiandae kubadilisha gearbox kaka
 
Alteza show nzuri, sport car, ambacho sipendi ni dashboard yake, haina navigation system, seat za nyuma hazina nafasi yakutosha endapo atapanda mtu mrefu, kwenye mafuta nadhani kilometa 9 kwa litre 1 hiyo ni reasonable.......so kama umeipenda na hela ya mafuta sio yakupapasa, chukua tu
 
Naona watu wanaulizia sana magari aina ya toyota, lakini nimeona gari za Nissan nzuri sana na hata bei ni cheap, mfano, Nissan teana na Nissan tiido latino

...tatizo spea tz hakuna dealers mpaka kenya.
 
Daaah mi Altezza kilichonivutiaga ni ule mkia wake tu. "Tail lights" I love her. Chukua kitu hiyo nzuri kwa vijana
 
Kama ina engine ya beams 2000 iliyoko pia kwenye gx 100, ichukue. Engine hii ikiwa mpya huweza kwenda hadi km 100 kwa 6 liters. Na kwenye high way ndo inakula even more less. Bse bongo tunanunua gari used, engine hii huwa ni ngumu na hivo haipotez sana its original efficiency.

Asante mkuu. Uliyosema ni kweli kabisa. Mimi ninayo ina engine ya beams 2000 iko vizuri sana. Na kwa safari ndio safi sana. Na mimi naitumia kwa safari tu.
 
Kijana utaweza maana hiyo 9 ni bila. AC na AC zinakuwa 7.5 jiandae .
Pili naona msimamo wako ni huo tu sababu ya mbio au shep yake maana si wengine tumeshaonja joto ya beams 2000. Kukaa na kipespi mkono nje sio nzuri nunua raum ww mke na kijana wenu tosha kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom