Mark II GX110 ndio gari, cc2000......ndani hata ukizima muziki sound ya engine unaisikia kwa mbaliiiiiii sana, pia inayo atraction control system, navigation system, space yakutosha ndani, pia kwenye kukimbia usiulize, kufuta kibakuli ni swala la dakika 1, pia ulaji wa mafuta ni kawaida sana litre 9 kwa kilometa 100, inamaana hapa na moro ni litre 18....pia sound system yake ndani yaukweli, pia tofauti na alteza sport, gx110 vvti beam hata utembee masaa 12 huwa haipati moto kwenye bonet but huwa ni joto lakawaida........alaf pia hii huwa inazo wishbone mbele na nyuma yan hata ukimbie vp swala lakuhama njia sahau hakunaga
Lakini kama unataka sports nzuri, nadhani mnyama subaru sio mbaya ingawa hata youtube watu wengi wanasema zinakimbia lakini kelele za engine huwa zinaingia sana ndani ya gari.