idete
Member
- Apr 8, 2012
- 61
- 15
Chukua Subaru
hata mimi nilipenda achukue subaru sababu gharama ya manunuzi zinakalibiana.subaru ipo vizuri japo spea zipo juu ila ukifunga inakaaa.ila kama altezaa basi busha na ball joint kwa wingi.
Chukua Subaru
hata mimi nilipenda achukue subaru sababu gharama ya manunuzi zinakalibiana.subaru ipo vizuri japo spea zipo juu ila ukifunga inakaaa.ila kama altezaa basi busha na ball joint kwa wingi.
...spea za toyota si majanga kaka, zinaingiliana sana. Ila suala la mafuta ndo issue
mawazo ya wabongo hapa ndo yanapo nichosha mie.....
hapo sio kunywa mafuta..,hio ni kawaida..,ile ni km 6 na litre..,Six cylinder tabia yake huwa inakunywa sana mafuta.Lita moja kwa Km 9
hapo sio kunywa mafuta..,hio ni kawaida..,ile ni km 6 na litre..,
Duh! Hayo majanga kweli wakati mm na kimeo changu napiga lita moja km 25
Hii ndio kitu ya Ukweli ndugu mwenzio nmeiagiza naisubiria kwa hamu zote mkuu
Alterza magari ya watoto! Chukua BMW X5 ni nzuri sana
NYAGI DRY Ukipata 4 cylinder ambayo imefungwa engine 3S ambazo zipo kwenye magari mengi na tena ukipata ambayo ni edition B ambazo ni chache sana Auto, manual zote ni B, ni pouwa sana zina features nyingi zaidi kuliko A kama Traction contral system, limited slip differential. Altezza zenye 1G ni six cylinder ambazo ndo nyingi na pia bei zake ni cheap kidogo compare to 3S. ila kama alivyokuambia dav22 kama unataka sports car angalia pia subaru legacy au B4 GT specs B utafurahia mwenyewe ila kwenye mafuta usiwe muoga kuingia petrol stations
Kijana utaweza maana hiyo 9 ni bila. AC na AC zinakuwa 7.5 jiandae .
Pili naona msimamo wako ni huo tu sababu ya mbio au shep yake maana si wengine tumeshaonja joto ya beams 2000. Kukaa na kipespi mkono nje sio nzuri nunua raum ww mke na kijana wenu tosha kabisa.
kaka watu wanachekesha sana....lita 1 kwa km 9 mtu analalamika.....
hapo sio kunywa mafuta..,hio ni kawaida..,ile ni km 6 na litre..,