Games ambazo nimecheza mpaka mwisho

Games ambazo nimecheza mpaka mwisho

Wacha wee, kumbe hii program ni pana kiasi hiki, had BUS Mods!
Aisee nimehamasika sana aisee.
Vipi hii version unaendesha mabasi ya abiria?

Nafikiri ni new version eeh!
Sio mpya ina muda kidogo...Unaendesha abiria unaingia terminal unabeba wengine na kuwashusha stendi.....Ingia YouTube useach Euro truck simulator bus mods'
 
Yassin member akiwa na miaka 21 aliteka ndege na kumshinikiza nyerere aachie ngazi

Capt zakaria hanspope akiwa na miaka 25 alitaka kufanya mapinduzi


..

Kijana wa sasa hivi wa miaka 26 anashinda kwenye playstation
Ukikua utaacha
 
Mimi kwenye simu simi nacheza payback 2. Ni nzuri pia ina stories nyingi nyingi
 
game pekee nililo wahi cheza mpaka level ya mwisho lilikua ni Dester Storm
 
Far cry sijawahi ijaribu

ni game zuri sana aise,mimi mara nyingi nilikuwa napenda kuzurula tu,yani una enjoy bila hata kufuata mission,kuna bahari kuna mbuga ya wanyama nk yani ni zuri sana
 
Kuna like game la nyoka la nokia kitochi nmecheza sana ad yule nyoka anajaa kwenye screen lkn ndo inakuwa mwisho wake wa kukua
 
Yassin member akiwa na miaka 21 aliteka ndege na kumshinikiza nyerere aachie ngazi

Capt zakaria hanspope akiwa na miaka 25 alitaka kufanya mapinduzi


..

Kijana wa sasa hivi wa miaka 26 anashinda kwenye playstation
Babu yako alipokuwa na 25 alifanya nin?
 
Need for speed: the run,most wanted,payback...
Currently nipo heat

Gta ,liberty city,vice city na san andreas

Project IGI

Na wrc ....2017
 
Kuna hii kitu inaitwa Detroit Become Human ni balaa.
Ukipata chance maliza na hii, every action you take determines the final outcome in the end.
So different people can have completely different stories. Game moja kali sana.

detroit-become-human-screen-07-ps4-us-30oct17
Kali balaa
 
Ni vile nakosa muda kutokana na shughuli zangu, ila naishiaga kucheza games za kwenye simu, na hapa nimeishia kucheza Candy Crush Saga. Sijawahi kufika mwisho, sasa hivi niko level ya 164, kabla simu yangu ya mwanzo haijaharibika nilifika level 210...

Hizo games nyingine sijawahi cheza.
Jikazekaze ufike hadi level ya 1000 hivii
 
Back
Top Bottom