Anhaa rank zote ulijaza vile vibox!
Ilikugharim level ya ngap mpaka ukajaza rank zote!!
Me nimefunga kampuni aisee naona nakula hasara tu,route ndefu 2500km,hela nayolipwa kidogo,mafuta bei kubwa,bado faini za tochi za barabarani,matengezo ya magari na vipuri bei juu imagine kila ukifikisha mzigo unapaswa uende gereji kutengeza gari hata kama hujapata ajali ukabadilishe tairi na kumwaga oil,bado hapo benki nao wanaruka na wewe kudai marejesho ya mkopo,nikaona hapa naendesha kampuni kwa hasara tuu,nikafyekelea mbali kila kitu!!
Funny thing ni kwamba madereva wangu wote walikuwa totoz kaliii balaa!! Na wote niliwahonga mercedes benz!