Games ambazo nimecheza mpaka mwisho

Author

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
1,709
8,007
Wadau wa kucheza magame, katika games ambazo nimecheza mpaka mwisho (Max) ni;

1.Freedom Fighters
2.Needs For speed Most wanted
3.IGA
4.Call for Duty
5.Euro truck Simulator
6.Grand Theft Vice City

We mdau wa games ni games gani ulishacheza mpaka mwisho?
 
GTA san andreas ndio nilicheza mpaka mwisho, euro truck simulator niliipenda mwanzo ila nilivyoizoea ikapoteza mvuto
 
Yassin member akiwa na miaka 21 aliteka ndege na kumshinikiza nyerere aachie ngazi

Capt zakaria hanspope akiwa na miaka 25 alitaka kufanya mapinduzi

..

Kijana wa sasa hivi wa miaka 26 anashinda kwenye playstation

Kwa hiyo unawashauri vijana wote wa zama hizi wenye 26+ ambao wanacheza games waache kuwaza games wajikite zaidi ktk kuwaza mapinduzi?
 
Ni vile nakosa muda kutokana na shughuli zangu, ila naishiaga kucheza games za kwenye simu, na hapa nimeishia kucheza Candy Crush Saga. Sijawahi kufika mwisho, sasa hivi niko level ya 164, kabla simu yangu ya mwanzo haijaharibika nilifika level 210...

Hizo games nyingine sijawahi cheza.
 
Wadau wa kucheza magame, katika games ambazo nimecheza mpaka mwisho (Max) ni;

1.Freedom Fighters
2.Needs For speed Most wanted
3.IGA
4.Call for Duty
5.Euro truck Simulator
6.Grand Theft Vice City

We mdau wa games ni games gani ulishacheza mpaka mwisho?
Mkuu je hizi ni offline games?
 
Yassin member akiwa na miaka 21 aliteka ndege na kumshinikiza nyerere aachie ngazi

Capt zakaria hanspope akiwa na miaka 25 alitaka kufanya mapinduzi

..

Kijana wa sasa hivi wa miaka 26 anashinda kwenye playstation
hahaa we jamaa utakuwa na maisha magumu na unapata tabu sanaaa...
kila jambo lina wakati wake,kuna muda wa kazi na wa kucheza games...
 
Wadau wa kucheza magame, katika games ambazo nimecheza mpaka mwisho (Max) ni;

1.Freedom Fighters
2.Needs For speed Most wanted
3.IGA
4.Call for Duty
5.Euro truck Simulator
6.Grand Theft Vice City

We mdau wa games ni games gani ulishacheza mpaka mwisho?
Kwenye ets 2 hapo msaada tafadhali...nimecheza mpaka level ya 32 nikiwa na rank ya elite...naona haina mwisho...alafu kupata skills na rank ni kwa mbinde sanaa mpaka nimechoka kuendesha gari sasa nimeamua kuwapokonya magar watu nimeyauza yoteee,nimefukuza kazi kila mtu,nimepiga bei gerej zote nimeamua kuachana nalo! We umefika level ya ngap na rank gani ndio mwisho?
 
Mkuu Euro truck hainaga mwisho.. Call of duty labda.. Unarepeat mission mpk inaboa.. Tafuta kitu cha devil may cry hutaboreka story nzuri action bomba na iko na realistic graphics
Nitaitafuta au nipe link niipakue
 
Kwenye ets 2 hapo msaada tafadhali...nimecheza mpaka level ya 32 nikiwa na rank ya elite...naona haina mwisho...alafu kupata skills na rank ni kwa mbinde sanaa mpaka nimechoka kuendesha gari sasa nimeamua kuwapokonya magar watu nimeyauza yoteee,nimefukuza kazi kila mtu,nimepiga bei gerej zote nimeamua kuachana nalo! We umefika level ya ngap na rank gani ndio mwisho?
Ah haa haaa. Ww jamaa umeua uchumi wa Euro truck...naamaanisha kupata rank zote
 
Kwenye simu kwasasa nacheza game ya BIA3 (Brothers In Army 3)...ila before nilikuwa nacheza Modern Combat na Critical Ops...mdau kwenye simu wacheza game gani?
 
Back
Top Bottom