☺️☺️ Nimecheza mpaka unahisi akili inauma!!safi hili game la watu wenye akili zilizowazidi.
Tatizo nn.ww umefanya nn had apo ulipoYassin member akiwa na miaka 21 aliteka ndege na kumshinikiza nyerere aachie ngazi
Capt zakaria hanspope akiwa na miaka 25 alitaka kufanya mapinduzi
..
Kijana wa sasa hivi wa miaka 26 anashinda kwenye playstation
Anhaa rank zote ulijaza vile vibox!Ah haa haaa. Ww jamaa umeua uchumi wa Euro truck...naamaanisha kupata rank zote
Temple run 2 naona bora nikimbize na hili lijiniKwenye simu kwasasa nacheza game ya BIA3 (Brothers In Army 3)...ila before nilikuwa nacheza Modern Combat na Critical Ops...mdau kwenye simu wacheza game gani?
Anamaanisha zile rank za kama eco driving,delivery on time,high value cargo,long distance,ndio kajaza vile vibox vyote..me nilifika level ya 32 elite,wewe vipi mzee?Euro truck simulator unamaliza vp?!
Hii ikoje mzeeKwenye simu kwasasa nacheza game ya BIA3 (Brothers In Army 3)...ila before nilikuwa nacheza Modern Combat na Critical Ops...mdau kwenye simu wacheza game gani?
Imekaaje hiyo sasa kwanj madereva ni watu wa kawaida.. AuAnhaa rank zote ulijaza vile vibox!
Ilikugharim level ya ngap mpaka ukajaza rank zote!!
Me nimefunga kampuni aisee naona nakula hasara tu,route ndefu 2500km,hela nayolipwa kidogo,mafuta bei kubwa,bado faini za tochi za barabarani,matengezo ya magari na vipuri bei juu imagine kila ukifikisha mzigo unapaswa uende gereji kutengeza gari hata kama hujapata ajali ukabadilishe tairi na kumwaga oil,bado hapo benki nao wanaruka na wewe kudai marejesho ya mkopo,nikaona hapa naendesha kampuni kwa hasara tuu,nikafyekelea mbali kila kitu!!
Funny thing ni kwamba madereva wangu wote walikuwa totoz kaliii balaa!! Na wote niliwahonga mercedes benz!
Ndio ila nilifyekelea mbali suala la gender equality,nikaajiri wanawake tupu tena wale wazuriImekaaje hiyo sasa kwanj madereva ni watu wa kawaida.. Au
Anamaanisha zile rank za kama eco driving,delivery on time,high value cargo,long distance,ndio kajaza vile vibox vyote..me nilifika level ya 32 elite,wewe vipi mzee?
Unalipwa pesa na ni watu in real world au wapo kwenye game tuuNdio ila nilifyekelea mbali suala la gender equality,nikaajiri wanawake tupu tena wale wazuri
Mzee mimi nilikuja mpaka africa huwezi amini!! Ila niliishia egypt kule kwenye jangwa nishakatisha sanaa!! Kimbembe wese likate jangwani!!Sasa hizo si ukifika level ya 30 tu zimeisha lkn mambo mengine yanaendelea...ramani zinazidi kuongezeka kila siku
Ikitoka raman ya tanzania unishtueSasa hizo si ukifika level ya 30 tu zimeisha lkn mambo mengine yanaendelea...ramani zinazidi kuongezeka kila siku

Mkuu Euro truck hainaga mwisho.. Call of duty labda.. Unarepeat mission mpk inaboa.. Tafuta kitu cha devil may cry hutaboreka story nzuri action bomba na iko na realistic graphics