CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 6,939
- 22,999
Ndugu zanguni kuna biashara huwa naionaga lakini sasa nahisi nakosa kujua naifunguaje kutokana na nature ya biashara.
Biashara ya Games Station,ni biashara ambayo taarifa zake wanazo wacheza hayo magame ambao ni vijana (toto za kishua na waliorizika flani)
Kwa circle yangu ya maisha Sina mtu hata mmoja alie karibu yangu anaecheza hata Game la nyoka kwenye Simu, yani wanaonizunguka wote biashara zao ni zile acha kazi ufanye kazi.
Nakuja Kwenu wajuzi,wafanyabiashara,na yeyote anaeweza nipa HINTS kuhusu hii biashara.
Gharama za GAMES husika,
Changamoto za games(mashine)
Mtaji Unaoweza Tosheleza.
Jinsi ya Kuanza
Kuchezesha ni Bei Gani
Matumizi Makubwa ya Ofisi,nk
Taarifa zote ambazo watu mtakua mnazijua kuhusu hii biashara,nitaomba nipatiwe.
Game Station hiii nataka iwe na games zote za PS kuanzia Ps ya Kwanza hadi Ps ya sasa PS 5.
NA Pia itakua na Games kama inayooonekana kwenye hizi Clip hapa Chini.
Package ya ALL GAMES IN ONE ROOF.
Mwisho Kabisa Naomba KIJANA anaejua ameshawahi kucheza Game Zote hizi na anaweza SIMAMIA ofisi kama hiii Aje PM tujue namna ya kufanya.
Nahitaji Mtu wa Kusimamia OFISI hii pindi nitakapofanikiwa Ifungua kutokana na Haya mtakayonishauri kupitia biashara Hiii.