Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,461
- 867,162
Ametoa taarifaNdio umefurahi?
Ametoa taarifaNdio umefurahi?
Alikuwa uvccm,aludi tena huko ,miaka yote atakuwa hajakuwa?Hivi haruhusiwi kurudi kazini alikokuwa kabla yavuteuzi?
Tatizo alisha watukana sana wana Arusha
Haijapata kutokea akiliccm wakawa na akili hiyo MkuuLabda watakuwa na cha kujifunza kuwa cheo ni dhamana
Watu wajifunze kitu;
Gambo 24/7 aliipigania ccm na kudhoofisha upinzani, kiasi kikubwa amefanikiwa lakini hakuna aliyesikitika wala kumwonea huruma sio ccm wala upinzani...umejifunza nini?
Haki pekee humtetea mtu awe hai au mfu
Kwa mwanadamu hayupo awezaye kuijua kesho yake, kikubwa ni kuishi na watu vizuri bila kuangalia cheo chako maana hivyo vyeo kwa mungu ni taka taka tu
Sasa ni vyema aombe ridhaa ya chama chake (Ccm) kuwawakilisha wananchi wa Arusha mjini bungeni.
Wana wa Arusha wanataka maendeleo kivitendo.
🤣 🤣 sio yule mropokaji wa Mbeya?Naona anaye fuatia ni yule wa iringa
Muda huwa unaongea vzr sna tz tunaishi kisiasa sna c ajabu baada ya october akawa mbunge na november akawa ni waziri atakaye mpa chai ya maziwa ni yule yule aliye mmwagia chai ya rangi
Ukishii kibandidu na watu, uraiani maofisiniWamemsahau kuwa hakuna anaye ijua kesho yake.