Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha na kutumbuliwa Mrisho Gambo leo amelazimika kukabidhi ofisi kwa mkuu wa mkoa mpya kiunyonge kabisa.
Inauma lkn hana jinsi maana hakujua kuwa cheo ni dhamana, ubabe na vitisho sasa atavifanyia uraiani akapambane na wana R-chuga.
Inauma lkn hana jinsi maana hakujua kuwa cheo ni dhamana, ubabe na vitisho sasa atavifanyia uraiani akapambane na wana R-chuga.