Gambo ‘kwa unyoonge’ akabidhi ofisi Arusha

Mwezi June siku kumi za mwisho zilikuwa ngumu sana kwa Gambo na Mwampamba.
 
Gambo asikate tamaa, nafasi bado anayo ndani ya CCM.

Namtakia mafanikio mema kama sio kwenye siasa, basi kwenye maisha ya kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha na kutumbuliwa Mrisho Gambo leo amelazimika kukabidhi ofisi kwa mkuu wa mkoa mpya kiunyonge kabisa.

Inauma lkn hana jinsi maana hakujua kuwa cheo ni dhamana, ubabe na vitisho sasa atavifanyia uraiani akapambane na wana R-chuga. View attachment 1494435View attachment 1494437
Hivi kwa nini waTanzania hua mnapenda sana kuponda kila kitu? Maana hata yeye anajua cheo hicho si cha kudumu,wewe hapo huwezi kujua nia yake baada ya hapo,wewe huyo huwezi kujua sili yake yamkini hata huo ni mpango tu wa yeye kuondoka,yaani kiufupi kila kitu chake hukijui lakini unakuja mitandaoni kusema amekabidhi ofc kwa unyonge,kweni maisha yote si yapo tu kwa wanadamu hata yeye anajua cha ajabu ni nini sasa!!! yani wabongo sijui mlirogwa na nani,kila kitu cha kujadili tu na kuacha mambo ya maana yakuhusuyo. Mi huyo si ndugu yangu wala simjui kwa lolote ktk maisha yangu lakini sioni ajabu yeye kua mkuu wa mkoa na kutenguliwa ajabu ni nini? Punguzeni maneno jamani muwe mnafanya hata mambo yenu
 
Ukitaka kufanya mambo yako fanya yako maana huna haki ya kumchagulia mwanadamu mwenzako nini cha kufanya maana hiyo kazi ni ya muumba tu.

Kama hupendezewi na michango ya wana jf basi pita kushoto tu wala hakuna atakaye kulaumu.

Ni ushauri tu kiongozi

Hakuna mtu anaye mtakia mabaya bali sisi wana Arusha na baadhi ya watanzania wenzetu wapenda haki na uhuru wa kujieleza tunafurahia kitendo cha yeye kuondolewa hapo ofisi kuu.
Gambo asikate tamaa, nafasi bado anayo ndani ya CCM.

Namtakia mafanikio mema kama sio kwenye siasa, basi kwenye maisha ya kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaa hasa Mwampamba sijui kama kesi yake huko nyumbani atakuwa ameimaliza salama
Mwezi June siku kumi za mwisho zilikuwa ngumu sana kwa Gambo na Mwampamba.
 
Naona huyo wa Iringa Kama safari ndiyo inaiva
Nimefurahi na kitendo cha Gambo kutumbuliwa. Alukuwa hajui hajui. Bado hawa:
RC wa Dar,
RC wa Manyara,
RC wa Njombe,
RC wa Tanga,
RC wa Iringa, na
RC wa Mbeya.
 
Huyo ni Baunsa kutoka Ikulu mahsusi kama Gambo angeleta nyodo kwenye kukabidhi ofisi, basi jamaa angenyanyua juu tupa nje.
Ametumika sehemu mbalimbali kwa mafanikio makubwa. [emoji23][emoji23]
Hahaha dah sikutegemea jibu kama hili
 
Ukitaka kufanya mambo yako fanya yako maana huna haki ya kumchagulia mwanadamu mwenzako nini cha kufanya maana hiyo kazi ni ya muumba tu.

Kama hupendezewi na michango ya wana jf basi pita kushoto tu wala hakuna atakaye kulaumu.

Ni ushauri tu kiongozi
Natambua kabisa..lakini ni aina na tabia za kipumbavu zinazo weza kuwaachia na vizazi wakasababisha maendeleo kurudi nyuma kwa kukalia majungu,hata wewe kwa kutetea kwako ni upumbavu
 
Hongera sana mkuu kwa matusi yako maana ungeniita kuwa ni mjinga ningefurahi maana ningejielimisha lkn kwa kuniita mpumbavu nimeumia sana.

Anyway hiyo ni haki yako sikulaumu mkuu pamoja sana.
Natambua kabisa..lakini ni aina na tabia za kipumbavu zinazo weza kuwaachia na vizazi wakasababisha maendeleo kurudi nyuma kwa kukalia majungu,hata wewe kwa kutetea kwako ni upumbavu
 
Daaa aisee nilikuwa sijaipata hiyo, kumbe wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa? [emoji23][emoji23]
Hawa vijana kwa unafiki utawaweza basi. Yani ukibahatika kukaa nao karibu jinsi wanavyomponda Jiwe huwezi kuamini?!
 
Back
Top Bottom