Gambo ‘kwa unyoonge’ akabidhi ofisi Arusha

Gambo ‘kwa unyoonge’ akabidhi ofisi Arusha

Hilo ni moja ya adhabu anazo kumbana nazo Gambo kwa sasa, kumbuka alisha watukana uvccm mkoa wa Arusha kuwa ni wafitina na wana majungu.
Cheo dhamana leo uko ofisini kesho mtaani!!
Je uliishije na wanamtaa?
 
Watu wajifunze kitu;
Gambo 24/7 aliipigania ccm na kudhoofisha upinzani, kiasi kikubwa amefanikiwa lakini hakuna aliyesikitika wala kumwonea huruma sio ccm wala upinzani...umejifunza nini?
Haki pekee humtetea mtu awe hai au mfu
Bwana mkubwa anajitengenezea njia, waliotoka majalalani wanarudishwa walikotolewa...
 
Mkuu ogopa sana kunyang'anywa tonge mdomoni, fikilia huduma zote alizokuwa anapatiwa kama RC na heshima aliyokuwa anapatiwa.

Najua kuanzia sasa atakuwa anapatikana sana pale Kijiweni Kwake kwenye Kumpiga Majungu JPM mitaa ya Bamaga nyuma ya Jengo la Kebbys Hotel.
 
Najua kuanzia sasa atakuwa anapatikana sana pale Kijiweni Kwake kwenye Kumpiga Majungu JPM mitaa ya Bamaga nyuma ya Jengo la Kebbys Hotel.
Tatizo alisha watukana sana wana Arusha
 
Back
Top Bottom