PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,475
- 46,519
Ameshanyooka kitamboAtanyooka tuu
Ameshanyooka kitamboAtanyooka tuu
Mm nimefurahiNdio umefurahi?
Mm nimefurahi
Hii ni ajali ya kisiasa, hasichukulie hasira. Wala hasiangalie pale alipo anguka bali aangalie kule aliko teleza. Ajipange tena upya kwa sababu umri bado unaruhusu na nafasi za uongozi bado zina hitaji watu. Siasa zetu hazina rafiki wala adui wa kudumu.Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha na kutumbuliwa Mrisho Gambo leo amelazimika kukabidhi ofisi kwa mkuu wa mkoa mpya kiunyonge kabisa.
Inauma lkn hana jinsi maana hakujua kuwa cheo ni dhamana, ubabe na vitisho sasa atavifanyia uraiani akapambane na wana R-chuga. View attachment 1494435View attachment 1494437
Hivi nikweli kabisa alikuwa mlengo wa kushoto pamoja na kumsifia vya kutosha mteuzi wake?
Sababa wakati ukutaKwanini
Mara ya mwisho nimemwona Mulongo Mwanza, huwezi kuamini aliwahi kuwa hata DC, achilia mbali RC.Mkuu mvizie upate kapicha kake hapo bagamoyo utuwekee hapa tujikumbushe mzee wa nyodo kutoka kyabakari
Huyo ni Baunsa kutoka Ikulu mahsusi kama Gambo angeleta nyodo kwenye kukabidhi ofisi, basi jamaa angenyanyua juu tupa nje.Huyo jamaa wa upande wa kulia katika picha ya kwanza ni mrefu kuliko wote, kuna anayemjua?
Mara ya mwisho nimemwona Mulongo Mwanza, huwezi kuamini aliwahi kuwa hata DC, achilia mbali RC.
Suruali aliyokuwa amevaa ilikuwa kama mfuko uliofungwa kiunoni. Suruali alizokuwa anavaa zamani, inaonekana kwa sasa ni much oversize lakini anailazimisha kwa kutumia mkanda.
Sidhani kama anaishi Bagamoyo. Nilipoonana naye Mwanza, alikuwa ametoka Bunda. Alisema ndiko anakoishi. Hata usafiri anaoutumia ni wa umma.
Unaweza ukacheka na kutojali ukisoma humu JF lakini ukimwona utapatwa na moyo wa huruma. Kwa nafasi aliyokuwa nayo, hakustahili kuwa hivyo. Hata nyumba hana. Aliyokuwa ameanza kujenga, hakumalizia. Na anayo madeni asiyoweza kuyalipa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni Baunsa kutoka Ikulu mahsusi kama Gambo angeleta nyodo kwenye kukabidhi ofisi, basi jamaa angenyanyua juu tupa nje.
Ametumika sehemu mbalimbali kwa mafanikio makubwa. [emoji23][emoji23]
Kuna mahala nilichangia ukaja na Kusema kuwa nisijione ni Genius hivyo kwa hili Swali lako naomba nikuachie sasa Wewe Genius utusaidie Kulijibu / Kutujibia sawa?
Sawa nmeelewa sna uzi wako mkuu ila nirijarbu tu kwenda mbele kidogoHayo yote yana wezekana ila kwa sasa tunamuongelea Gambo anaye kabidhi ofisi
Hii ni ajali ya kisiasa, hasichukulie hasira. Wala hasiangalie pale alipo anguka bali aangalie kule aliko teleza. Ajipange tena upya kwa sababu umri bado unaruhusu na nafasi za uongozi bado zina hitaji watu. Siasa zetu hazina rafiki wala adui wa kudumu.
Mkuu hutakiwi kuwa mkali kiasi hicho kumbuka hapa ni sehemu ya kujadiliana na kukosoana na kuelimishana pia.
Unamwona anko Magu hamnazo au?Muda huwa unaongea vzr sna tz tunaishi kisiasa sna c ajabu baada ya october akawa mbunge na november akawa ni waziri atakaye mpa chai ya maziwa ni yule yule aliye mmwagia chai ya rangi
Lakini mkuu,kazi aliotumwa alifanya,usishangae akawa ni balozi wetu Ulaya.Duh,madaraka bwana,yaani kakonda ghafla tu,nimeamini hakuna aijuaye kesho yake