Gambo ‘kwa unyoonge’ akabidhi ofisi Arusha

Gambo ‘kwa unyoonge’ akabidhi ofisi Arusha

Sasa hivi hawezi kuamuru hata mgambo wa jiji na akamtii,, Ubovu wa hvo vyeo kama huna ujuzi binafsi au akili ya bizness unakuja uraiani kuishi maisha magumu sana, Kama alijipanga ataishi fresh sana
 
huyu jamaa atarudi kuwa mkuu wa mkoa flani ambapo bosi wao atataka akatumike kwa kipaji chake cha ukichaa. Subirini uchaguzi upite.
 
Kama hata Wiki tu haijakatika vizuri ameshaanza Kukonda hivi vipi ukipita Mwezi kabisa si anaweza kuwa amekondeana kama Fido Dido kabisa?
Umenikumbusha zamani Mambo ya Fido Dido
Watoto wa juzi hawataelewa
 
Kweli mkuu. Mwenye macho haambiwi tizama. Ni fundisho kubwa sana kwa wale watakaoelewa. Hebu fikiria alikuwa akipita na msafara mithili ya Waziri Mkuu. Duu hivi sasa hata boda boda hamna?? Kweli inauma sana ila ndiyo maisha.
Hili ni funzo kwako na kwangu mkuu
 
Back
Top Bottom