PreGE2025 G55 Moshi na Temeke waondoka CHADEMA

PreGE2025 G55 Moshi na Temeke waondoka CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
ccm wanatumia nguvu kubwa kuibomoa chadema
wananunua wanachama wa chadema, wanatumia polisi, wasanii, waandishi wa habari

Uzuri watanzania wameamka, wanaelewa uchafu unaofanywa na chama tawala
 
UTAWEZAJE KUFANYA KAZI CHINI YA MKONO WA CHUKI, VISASI
IMG_20250511_152436_205.jpg
 
Chadema atabaki Lisu na makamanda wa mitandaoni lkn Chadema kwasasa ndio imekuwa Chauma CUF ndio ACT kazi iyendelee ,, ACT imelikosa DODO kweupee!!!
Uhai na nguvu ya chama ni uwezo wa kujenga na kutetea hoja na ushawishi watu wakazinduka na kutambua haki zao, wanaobaki CDM hivi sasa ni influencers
 
Who cares ? 52 ? Nani anawajua sasa ? Aliondokaga Dr Slaa dakika za jion kabisa uchaguz wa mtoto, sembuse hawa wapuuzi walioshiba mbege na dadee? Chadema ipo na itakuwepo mioyoni mwa watanzania ! Acha mchele ujitenge na pumba/makapi!

Heche na Lissu wanazidi kukinyoosha chama, wale wa pombe na bure na nyama waondoke tu !
Nilidhani watajifunza kwa mchungaji alibebeshwa mabango ya picha kama marehemu😂
 
Kuna wengine ndo tunawasikia leo ila nao wanasema walikuwa wanatukanwa
Wajinga kweli. Yaani cdm ihakikishe isichukue muda mrefu bali ihuishe katiba yake na ihakikishe hakuna mtu kukaa sehemu moja ya uongozi zaidi ya miaka kumi. Hii mtu kukaa sehemu moja zaidi ya miaka kumi haya ndio madhara yake. Anatolewa akiwa ametengeneza wafuasi wake, na sio wafuasi wa taasisi, akishindwa wanaanza hujuma za bei rahisi. Kalamu
 
NI VIGUMU SANA KUFANYA KAZI CHINI UONGOZI WENYE ROHO MBAYA VISASI NA VINYONGO!
IMG_20250511_152436_205.jpg
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
UTAWEZAJE KUFANYA KAZI CHINI YA MKONO WA CHUKI, VISASI View attachment 3331016
Kwa bahati mbaya cdm hawaondoki wafuasi, bali wanaondoka team Mbowe😂 Tena ni kama mmewasaidia cdm, badala watumie muda wao kuwafukuza wameondoka wenyewe. Waende vyama vingine, kama wana mvuto tuone kama watafuatwa kama Maalim Seif alipohama CUF. Tena hao te Mbowe ndio walichangia kuifanya cdm ionekane ni chama cha wachaga.
 
Binafsi nawashukuru sana Tundu Lissu, Heche na Lema, kama hawa watu wangekata tamaa na kikihama CHADEMA, ingechukuwa muda kidogo kujua kwamba kwa miaka yote iliyopita chama hicho hakikuwa na lengo la kusaidia wananchi bali kilikuwa na lengo la 'na sisi tule'
Well said
 
Kwa bahati mbaya cdm hawaondoki wafuasi, bali wanaondoka team Mbowe😂 Tena ni kama mmewasaidia cdm, badala watumie muda wao kuwafukuza wameondoka wenyewe. Waende vyama vingine, kama wana mvuto tuone kama watafuatwa kama Maalim Seif alipohama CUF. Tena hao te Mbowe ndio walichangia kuifanya cdm ionekane ni chama cha wachaga.
UHAI WA CHAMA UMELALIA KWENYE HAMASA, MSIJIDANGANYE KUNA WANACHAMA WATASALIA NEVER EVER, KIONGOZI MMOJA HUWA NA USHAWISHI WAKE, HUWA NA TIMU YAKE, NA WAPAMBE WAKE, NEVER UNDER ESTIMATE NI PIGO TAKATIFU.
 
Hahahahaa Una akili Sana, bonge la observation
Wanasema wanatukanwa mtandaoni. Kweli kuna zama na nyakati zake. Mtu anasema kabisa kuwa anajivua uanachama kwasababu chama hakishiriki uchaguzi eboo.
Kabla ya kujivua uanachama lazima wamefanya consultation n waliyekuwa wanamuunga mkono.

Yaani kwa muvi hii kweli Mh. Mbowe ameangushwa sana na wafuasi wake. Yaani Mbowe alikataa kutokugombea kwasababu alishafika bei. Duniani kote kuna tafiti nyingi sana kuhusiana na maendeleo ya kiongozi wa kisiasa anayekaa madarakani muda mrefu huwa mwisho wake siyo mzuri.

Hosni Mubarak
Robert Mugabe
Omar AL Bashir
Obing' Theodore
Yule wa Cameroon
Yule aliyepinduliwa Bukinafaso
Putin is looding
Aikael Mbowe
Nkurunzinza
Na wengine wengi.

Ukishakaa madarakani muda mrefu unaanza kuongoza kwa mazoea pia wapinzani wako na wafuasi wako wanagundua weakness point ya kukumaliza.
 
Back
Top Bottom