PreGE2025 G55 Moshi na Temeke waondoka CHADEMA

PreGE2025 G55 Moshi na Temeke waondoka CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tutapata viongozi wapya! Chadema Ina hazina ya watu waamunifu sio Hawa madalali.
Jifarijini wanaondoka matajiri mnaweka maskini

Hao maskini Watawakimbia tu na wao wakiona pesa za tonetone haziwafikii

Mark my words bold kabisa na u underline
 
ccm wanatumia nguvu kubwa kuibomoa chadema
wananunua wanachama wa chadema, wanatumia polisi, wasanii, waandishi wa habari

Uzuri watanzania wameamka, wanaelewa uchafu unaofanywa na chama tawala
Wacha wahame ni sawa na mtu kuhamia mkoa,sio shida!
 
mbona wanaokimbia ni wachagga, kweli ukifukiza moshi shimo vinatoka vitu vya ajabu
Majina yao na wapi wamesema wao wachaga?

Umewajuaje kuwa wachaga kwani Kilimanjaro wanaishi wachaga tu?
 
Suala la No reforms no election waliliandaa wao wenyewe tangu 2023 huko wakiongozwa na yule Kigaila na lengo kuu ilikuwa ni kuitishia serikali ya ccm wakaandaa Hadi hyo tone tone wakiamini fika kuptia kampen hyo zitakusanywa hela za kutosha kwahy no reforms no election ilikuwa ya kutisha tu lkn nia ya kushiriki uchaguzi walikuwa nayo sasa walipokadhiwa kijiti uongozi mpya wao wakasimamia Yale maazimio bila kupepesa jicho
Kwahy sasa shda inakuja kwa hao G55 kwasababu walitegemea ruzuku za uchaguzi kutokana na kampen ya tone tone washaona mchezo umegeuka jamaa hawajasain hzo kanuni na uchaguzi hawatashiriki kwahy na wao hawatopata ruzuku za uchaguzi kwahy njia sahihi kwao ni kutimka ili waone wapi watapata shavu na ruzuku za uchaguzi.
 
Kuna watu niliwaambia Tundu Lissu hana uwezo wa kuwa kiongozi wa chama cha siasa! Anaweza kuongoza taasisi nyingine lakini sio ya kisiasa!

Nadhani sasa hivi watakua wameanza kunielewa!
 
Wengi wao wakishutumu kuchoshwa na matusi na ubaguzi dhidi yao wameamua kujiondoa chadema.
ila kiukweli mwenyekiti na Makamu mwenyekiti wa Chadema taifa wanaropoka mno ndugu wadau,

halafu wanachama wa Chadema kwa ujumla wao wana mihemko na wana poromosha matusi kwa ustadi wa kiwango cha juu mno aise, haijulikani wamajifunzia wapi mambo haya ya kilofa hivi 🐒
 
UHAI WA CHAMA UMELALIA KWENYE HAMASA, MSIJIDANGANYE KUNA WANACHAMA WATASALIA NEVER EVER, KIONGOZI MMOJA HUWA NA USHAWISHI WAKE, HUWA NA TIMU YAKE, NA WAPAMBE WAKE, NEVER UNDER ESTIMATE NI PIGO TAKATIFU.
Kama mlitegemea hiyo nadharia kufanya kazi, basi safari hii ndani ya cdm mtasubiri sana. Kahongeni wengi zaidi wafanye press kuwa wanahama cdm. Uzuri mnawapa hela.
 
Kuna watu niliwaambia Tundu Lissu hana uwezo wa kuwa kiongozi wa chama cha siasa! Anaweza kuongoza taasisi nyingine lakini sio ya kisiasa!

Nadhani sasa hivi watakua wameanza kunielewa!
Bana weee, hao G55 mwenye akili yukwapi bana? Yaani kupunguza garasa ndio kitu unamkausha mtu kuwa hawezo kuongoza? 🤣🤣
 
UHAI WA CHAMA UMELALIA KWENYE HAMASA, MSIJIDANGANYE KUNA WANACHAMA WATASALIA NEVER EVER, KIONGOZI MMOJA HUWA NA USHAWISHI WAKE, HUWA NA TIMU YAKE, NA WAPAMBE WAKE, NEVER UNDER ESTIMATE NI PIGO TAKATIFU.
Kuna watz wengi sana siyo wanachama wa chama chochote. Hwa wanachoangalia ni sera zipi na za nani zipo sahihi kwa mstakabali wa nchi. Huu ni ukweli ambao hata watawala wanauelewa ndiyo maana hawataki kusikia mgombea binafsi. Hawa wanao ondoka walikuwepo cdm kwa sababu ya maslahi binafsi zaidi. Watz wengi kwa sasa wana support 'No reforms no election' ili hata wagombea binafsi waweze kujitokeza na kugombea.
 
Back
Top Bottom