G.P.A ya mbunge David Silinde

G.P.A ya mbunge David Silinde

Leta ya kwako hapa kana hauna below hiyo Gent....
 
Peleka pumba zako mbali we kilaza, badala ya kuleta mambo ya maana unaleta UMBEA WA ASILI YA UKOO WENU!
 
Mleta mada inawezekana yuko shule jamani mwachine au ndo amemaliza Chuo.
Huku Kazini hakuja cha GPA Mkuu. Tumeona wengi wanakuja na hizo GPA first class lakini kazi hawezi kabisa.
Huku ni kazi tu. Kama unadhani GPA itakusaidia kazini basi wewe una matatizo.
Labda kama anataka kubaki mlimani afundishe.. otherwise huku mtaani GPA haina maana
yeyote..
 
Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni ******....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...

Wadau wenye kumjua Mheshimiwa David Silinde tunaomba wafunguke na matokeo yake pale Mlimani..ni kweli alipata Gentleman ama ni porojo tu...

Kwanza hakuna kitu kinaitwa Gentleman katika Grades point averages UDSM
Peleka upupu wako kwenye Vyuo vyenu ya Nyuki
 
GPA kubwa inahitajika kama unataka kufundisha chuo, zaidi ya hapo haina maana. Kijwete alikuwa na hiyo Pass lakini kawa rais kwz miaka 10. Acheni uki.laza!
 
Low G.P.A=Low IQ
Hoja dhaifu sana hii ndugu!

GPA nzuri haileti uhakika wa utendaji mzuri ktk kazi, biashara, uongozi. Hayo madaraja ya kitaaluma yanafaa tu ktk kazi za taaluma kama ualimu. Maprofesor wangapi wamepewa kazi za uongozi na wamevurunda? Angalia tu hata baraza la mawaZiri la sasa. Wako ma prof, drs na hadi wenye digrii moja ama vyeti vingine. Sasa niambie, ktk mawaziri wanaoonekana kumudu vyema majukumu yao (best performing), wangapi ni maprof ama Dr?

Nimeajiri wenye first class hadi mwenye pass, na diploma ktk kazi za kufanana. Nakuhalikishia nimeona wenye diploma na pass wakifanya kazi nzuri kuliko wenye first class degree, masters degrees na kadharika. Ktk kazi kinacholeta tofauti kubwa ni attitude na bidiii. Mengine mtu anajifunza tu ilimradi anayo basic education inayoendana na kazi husika!
 
Ingekuwa G.P.A ndo criteria ya Uongozi au Siasa basi Raisi angekuwa Lipumba.. ila bahati mbaya sana hatuangalii hilo
 
Low G.P.A=Low IQ

Mkuu, ulishafanyia utafiti wa Low GPA = low IQ? Au umeamua kusema tu. Don't be a moron, you can google and learn new things. Usiandike conclusions kwenye public kama huna uhakika.
 
Wacha mchezo na Bcom ya UDSM. Yani GPA ya Bcom udsm ya 2.0 ina maana kubwa sana kuliko GPA ya 4.0 ya UDOM, MZUMBE, OPEN, IFM na vyuo vyote unavyovijua hapa nchin vinavyotoa kozi za biashara. Ndio maana digrii ya UDSM inaitwa Honorous. Vyuo vingine vinatoa ordinary degree.... Kwa hiyo mtu yeyoe ambaye amehitimu shahada ya Biashara UDSM ni 'kichwa by default'...
you are totally out of scope!!!unaonekana hujui hata dhana ya hon kwenye trend ya performance.Unafikiri kwa macho na kuskia badala ya rigoreous arquement.Fikra pofu zenye mwelekeo wa kihistoria,lazima tupime output zetu by focusing firmly on outcome and performance.kindly advised to make pilot study badala ya kuarque mithili ya primary kids.Achanen na deadly ideas,mfumo uliopo kwa sasa haujustify unachokiamini.Jaribu kuptia TCU utajua kua university stds wa siku hizi wako equal weight,Division 2 tena ya mfumo wa GPA inampa nafas mwanafunzi kusoma Law Udsm.
 
Low G.P.A=Low IQ
Kaulizie Bakheresa au Mengi wana GPA zipi.
Kimsingi kwa harakati alizopitia Silinde UDSM hata kama ana Pass ni halali kabisa. Binafsi amesoma kozi moja na mdogo wangu, ila yule mdogo wangu alinieleza sifa za Silinde kwamba muda mwingi alikuwa hakai darasani kwake bali alikuwa anahangaikia mikopo kwa wanfunzi waliokuwa nyuma yake, hivyo hata kufaulu alijitahidi sana vinginevyo ilitakiwa utawala wa Mdisco kabisa.
 
Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni ******....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...

Wadau wenye kumjua Mheshimiwa David Silinde tunaomba wafunguke na matokeo yake pale Mlimani..ni kweli alipata Gentleman ama ni porojo tu...

Katika nyuzi zisizokua na mashiko huu ni mmoja wapo. Unanukumbusha kuna shirika moja lilikuwa linataka kuajiri ofisa mtumishi likasema linataka mtu wa GPA ya 3.5 or above. Nyinyi wa Tanzania mmsema ili mtu awe waziri anahitaji kuwa mbunge, na ili awe mbunge anaahitaji kujua kusoma na kuandika. Hii ndio bench mark yetu sasa Silinde kama waziri kivuli anavigezo hivyo na vya ziada kwani ni graduate. Sasa CV yake inahusu nini hapa? CV inatakiwa tuijue kama mtu anajinasibu na sifa asizokuwa nazo-yaani anaedanganya elimu yake ndio tuna haki kupata CV yake. Kwenye tovuti ya Bunge wanasehemu ya wasifu wa kila mbunge pale waweke kila mtu wasifu wake bila kudanganya ili tujue kwa kazi tuliyowapa wanastahili. Jukumu lolote GPA hakiwezi kuwa kigezo cha pekee, kuna uzoefu, na busara za kuishi katika jamii fulani, na kujituma etc. na Kwenye siasa GPA peke yake haitoshi na viongozi wakubwa wengi duniani wana kisomo cha kawaida tu lakini wanajua kuwatumia vizuri wataalamu walio kuwa nao.
 
Issue siyo GPA bali hizo GPA zetu tunazitumiaje katika jamii!!!!!!
 
Back
Top Bottom