Sasa we kwa uelewa wako unazani ata izo siasa ni cheap ? Au unazani ubunge aliupata tu simple just like that ?angekua na GPA kali asingekimbilia siasa mapema.
Kama alipata gentleman...... Jiulize ninkwa nini wananchi wamemuamini?? Mpaka wakampa jimbo??? Jibu ni kwamba unaweza ukawa unaufaulu mzuri sana lakini ukakosa maarifaWakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni kilaza....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...
Wadau wenye kumjua Mheshimiwa David Silinde tunaomba wafunguke na matokeo yake pale Mlimani..ni kweli alipata Gentleman ama ni porojo tu...
Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni kilaza....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...
Wadau wenye kumjua Mheshimiwa David Silinde tunaomba wafunguke na matokeo yake pale Mlimani..ni kweli alipata Gentleman ama ni porojo tu...
Akili fupi hizi, zafanana na za pwezaUDOM ingelikuwa first class (Hons)
Hiyo gentleman degree itakusaidia nini? Huyo magogoni alijipa PhD fake na Nchi imemshinda iko shagalabagala!Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni kilaza....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...
Wadau wenye kumjua Mheshimiwa David Silinde tunaomba wafunguke na matokeo yake pale Mlimani..ni kweli alipata Gentleman ama ni porojo tu...
5.6Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni kilaza....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...
Wadau wenye kumjua Mheshimiwa David Silinde tunaomba wafunguke na matokeo yake pale Mlimani..ni kweli alipata Gentleman ama ni porojo tu...
Alianza siasa toka tupo nae olever so ilikuwa kwenye damu MKUU HUMJUI HUYU VEMAangekua na GPA kali asingekimbilia siasa mapema.
UDSM sio chuo hatari na mitihani sio migumu kama tunavyotishwa. Kinachofanya watu wapate GPA ndogo ni hawasomi kwa bidii na hofu waliyojengewa tangu mwanzo. Ukiwa serious na shule na positive mind zile supplementary utakuwa unazisikia kwa wengine. Haya mambo ya kutishana nilianza kutana nayo baada ya kuchaguliwa form five kusoma PCB ambapo siku moja nilikutana na jamaa mmoja aliekuwa kamaliza form six akaanza kunitisha kuniambia PCB ni ngumu mno ati hata yeye pamoja na kuchaguliwa CBG aliamua kubadilisha kwenda EGM! Mimi nilimpuuza nikaenda zangu shule bahati mbaya nikaugua mwaka mzima nikaja kupata nafuu mwishoni mwa form five nikaendelea na shule. Form six ndo nilipata mda wa kusoma kwani Mungu alinisaidia nikapona na mtihani wa taifa nikafanya na nikafaulu na chuo kikuu nikaenda. Mbona mambo ni ya kawaida tu!!! Mimi huwa sina kitu kinachoitwa haiwezekani au hiki ni kigumu.haooo wanaomdis hawaijui UDSM kuwa ni tofauti na vyuo vingine .
aende akaangalie asilimia kubwa ya waliomaliza weng wao gpa ndogo kwa kuwa chuo hatar so mmpe hongera ali graduatee haku disco ....hawa wa vyuo vya kata hawatamwelewa wataona ni kilaza kumbe ni kipanga halafu wao wanajiona vipanga GPA ya 4.5 kumbe vilaza tuuuu
asikubabaishe huyo uliyekuwa unabishana naye,kuna maprofessor waliokuwa na first class Hons ,lakini kichwani hamna kitu,hawawezi hata kujenga hoja!angalia olesendeka,ni zero form six lakini no mjinga hoja mzuri sana,achana na ma GPA hayo.Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...