G.P.A ya David Silinde itakusaidia nini angalia mambo yako wewe
Mbona mliangalia grades za yule binti na kufanya jina lake liwe-edited humu?
G.P.A ya David Silinde itakusaidia nini angalia mambo yako wewe
Sawa lakini tutasema ukweli!Akili ndogo hizi, hamuendelei kwa kuwa na mindset za zilizochakaa.
Elimu yetu imefika pabaya sana. Vyuo vinaproduce vilazer wasiojiweza kwa lolote wanaojivunia ma-GPA makuubwa. Jaji mkuu mstaafu Augustine Ramadhani mbona huwa hafichi kama ana gentleman degree na wote kazi yake twaifahamu.Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni ******....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...
Wadau wenye kumjua Mheshimiwa David Silinde tunaomba wafunguke na matokeo yake pale Mlimani..ni kweli alipata Gentleman ama ni porojo tu...
Kazi ipi? Ana mapungufu mengi tu, sema he is within acceptable standards. Alikuwa mwanachama wa CCM wakati ni Jaji Mkuu, (mfanyakazi wa serikali) kitu ambacho ni kinyume cha sheria!Elimu yetu imefika pabaya sana. Vyuo vinaproduce vilazer wasiojiweza kwa lolote wanaojivunia ma-GPA makuubwa. Jaji mkuu mstaafu Augustine Ramadhani mbona huwa hafichi kama ana gentleman degree na wote kazi yake twaifahamu.
pana tabia siyo mbaya maana kama kweli mtu amemaliza UDSM na ana Bachelor alafu anabishana mambo ya kiutumbo utumbo basi nchi yetu elimu haina maana kabisa mimi nilidhani ni mtu wa darasa la saba ndiyo maana anabishania neno Muheshimiwa!!!! mpaka mishipa ya shingo inamtokaHii tabia iliyozuka ya kudai matokeo ya watu waliosoma ni tabia ya kipuuzi Sana..na kwa bahati mbaya utakuta huyo anayedai hayo matokeo hata kidato cha nne hakufika!!
Kuna mama ni mwanaccm aliwahi kugombea wadhifa fulani kwenye taasisi ya mwalimu nyerere..kwenda kamuulize..
He heee. Mkuu umeua. Eti wanaishia Forever!Watoto wa udsm mnajipa sifa za kijinga mnamaliza shule kichwani mpo kawaida sana, mmeshindwa kutengeneza tomato, angalieni vyuo kama makelele wametengeneza gari, nyie mnakalia udsm noma noma, ndo maana mnaishia forever living
Ina application! Inareflect kwa watu juhudi zako katika maisha yako ya kila siku aidha unabidii au ni mtu wa kupuuzia mambo. Inaonyesha how serious are you! Hata kwenye kuomba kazi pia inaonyesha ni kwa jinsi gani utajituma kwenye kazi unayoomba. Sema tu kujuana kunawafeva kipata kazi waliofeli au waliopata gentlemanGPA? Kwani GPA ina application gani katika maisha?
Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni ******....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...
Wadau wenye kumjua Mheshimiwa David Silinde tunaomba wafunguke na matokeo yake pale Mlimani..ni kweli alipata Gentleman ama ni porojo tu...
Shilinde alipata C flat kuanzia mwaka wa kwanza mpaka wa 3,sasa mpe GPA
JK alipata 2.1 na amewaongoza miaka 10
Prove!Low G.P.A=Low IQ
When I was at school I failed on some of the subjects, a friend of mine passed subjects; that friend of mine passed all subjects is a managing director of Micro soft company but I am the owner of Micro soft company. Aliyasema Bill Gate somewhere. Linganisha na unacho kiamini.Low G.P.A=Low IQ
Bajeti ya wizara au waziri kivuli ni mawazo ya msomaji peke yake?Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...