G.P.A ya mbunge David Silinde

Rio Tinto

JF-Expert Member
Sep 18, 2014
777
451
Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni kilaza....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...

Wadau wenye kumjua Mheshimiwa David Silinde tunaomba wafunguke na matokeo yake pale Mlimani..ni kweli alipata Gentleman ama ni porojo tu...
 
Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni ******....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...

Pass degree mbona inatosha sana. His daily business is not hard science, why first class? Second class?
 
Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni ******....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...

Wadau wenye kumjua Mheshimiwa David Silinde tunaomba wafunguke na matokeo yake pale Mlimani..ni kweli alipata Gentleman ama ni porojo tu...
Unaamini katika vyeti etie. Utasubiri miaka 800. Mwambie Sendeka alete yake kwanza
 
Kwanza hiyo Gentleman iko TIA au UDSM?
Hizi rank nyingine isije ikawa mnatuletea za kwenye vyuo vyenu vya mifugo huko. Sijui Distinction n.k! Embu nijuze kwenye list hii hyo gentleman iko ktk ya nn ...
First class
Upper second
Lower second
Pass
 
Pass= gentleman's degree . Shida ya nini? Pata pass nenda TRA piga mpunga basi! Chukua medicine miaka 6, pigwa na wagonjwa, shida ya nini!
 
Hii tabia iliyozuka ya kudai matokeo ya watu waliosoma ni tabia ya kipuuzi Sana..na kwa bahati mbaya utakuta huyo anayedai hayo matokeo hata kidato cha nne hakufika!!
Kuna mama ni mwanaccm aliwahi kugombea wadhifa fulani kwenye taasisi ya mwalimu nyerere..kwenda kamuulize..
 
Kwanza hiyo Gentleman iko TIA au UDSM?
Hizi rank nyingine isije ikawa mnatuletea za kwenye vyuo vyenu vya mifugo huko. Sijui Distinction n.k! Embu nijuze kwenye list hii hyo gentleman iko ktk ya nn ...
First class
Upper second
Lower second
Pass
haooo wanaomdis hawaijui UDSM kuwa ni tofauti na vyuo vingine .

aende akaangalie asilimia kubwa ya waliomaliza weng wao gpa ndogo kwa kuwa chuo hatar so mmpe hongera ali graduatee haku disco ....hawa wa vyuo vya kata hawatamwelewa wataona ni kilaza kumbe ni kipanga halafu wao wanajiona vipanga GPA ya 4.5 kumbe vilaza tuuuu
 
Back
Top Bottom