Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni ******....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...
Wadau wenye kumjua Mheshimiwa David Silinde tunaomba wafunguke na matokeo yake pale Mlimani..ni kweli alipata Gentleman ama ni porojo tu...
ki_la_za na jesika yapo censored.Vidoti ni vya Maxenzo kaficha neno hapo liweke kichwani
Chukua GPA za Tibaijuka na Chenge utupe na faida zake..!Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni ******....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...
Wadau wenye kumjua Mheshimiwa David Silinde tunaomba wafunguke na matokeo yake pale Mlimani..ni kweli alipata Gentleman ama ni porojo tu...
Kwanini mkuu.mi namshangaa huyu jamaa unaulizia GPA ya mtu ambaye labda keshakuacha mbali tu kimaisha itakusaidia nini? Ulimwengu huu si wa kuangalia GPA. Bill Gates alidrop college akaendelea na Microsoft leo yuko wapi? Alinifurahisha alipotembelea Harvard kuongea na jumuiya na wanafunzi akawaahidi atarudi kumalizia degree yake . Ila kumbuka mpaka hapo wanamwita Dr. William Gates hata degree hakumaliza.Mbona ume panick mkuu...Tehe Tehe
Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni ******....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...
Wadau wenye kumjua Mheshimiwa David Silinde tunaomba wafunguke na matokeo yake pale Mlimani..ni kweli alipata Gentleman ama ni porojo tu...
mkuu nakuunga mkono hoja yako ya hii issue sio ya kitaifa lakini hapo kwenye madawati mhhh labda useme hiyo bil.2 itumike mahala pengine sio kwenye madawati maana hata wewe umeshuhudia mchakato wa kuongeza madawati unafanikiwa kwa kiasi chakewanaume wa dar ktk ubora wako!! hii nayo ni issue ya kitaifa? badala ya kuhoji why mkulu anajijengea uwanja wa ndege kwa gharama ya bilioni 2 badala ya kuzipeleka kwenye madawati ambako watoto wanakaa chini kwa miaka 54 tangu uhuru!!!!
Wacha mchezo na Bcom ya UDSM. Yani GPA ya Bcom udsm ya 2.0 ina maana kubwa sana kuliko GPA ya 4.0 ya UDOM, MZUMBE, OPEN, IFM na vyuo vyote unavyovijua hapa nchin vinavyotoa kozi za biashara. Ndio maana digrii ya UDSM inaitwa Honorous. Vyuo vingine vinatoa ordinary degree.... Kwa hiyo mtu yeyoe ambaye amehitimu shahada ya Biashara UDSM ni 'kichwa by default'...
HATA MIMI NAJUA HIVYO LABDA KUMEKUWA NA MABADILIKO KUANZIA MWAKA 2012
Akili ndogo hizi, hamuendelei kwa kuwa na mindset za zilizochakaa.UDOM ingelikuwa first class (Hons)
Watoto wa udsm mnajipa sifa za kijinga mnamaliza shule kichwani mpo kawaida sana, mmeshindwa kutengeneza tomato, angalieni vyuo kama makelele wametengeneza gari, nyie mnakalia udsm noma noma, ndo maana mnaishia forever living
Kuku ni kufilisika kiakili!kama huna hoja shut up.!Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni ******....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...
Wadau wenye kumjua Mheshimiwa David Silinde tunaomba wafunguke na matokeo yake pale Mlimani..ni kweli alipata Gentleman ama ni porojo tu...
kweli unajua angebakishwa kuwafundisha wenzakdUDOM ingelikuwa first class (Hons)
how old are you?Low G.P.A=Low IQ
Kuna watu kazi yao kukosoa tu...huku kazini sisi tuliosoma UDOM tunakimbiliwa!!!!ningeshangaa sana huu uzi uishe bila mtu kuisema Udom ila hujui tu UDOM wako juu sana kwa sasa kwa wale waajiri tunaelewa wakoje