Pass degree mbona inatosha sana. His daily business is not hard science, why first class? Second class?
Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni ******....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...
Wadau wenye kumjua Mheshimiwa David Silinde tunaomba wafunguke na matokeo yake pale Mlimani..ni kweli alipata Gentleman ama ni porojo tu...
Mbona Ole sendeka mlimzoza Sana kumbe mkuki Kwa nguruwe......
Hahah, dahUDOM ingelikuwa first class (Hons)
Tuna rundo la Maprofesa wenye first class wametusaidia nin katika taifa hili?Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni ******....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...
Wadau wenye kumjua Mheshimiwa David Silinde tunaomba wafunguke na matokeo yake pale Mlimani..ni kweli alipata Gentleman ama ni porojo tu...
None sense!Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni ******....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...
Wadau wenye kumjua Mheshimiwa David Silinde tunaomba wafunguke na matokeo yake pale Mlimani..ni kweli alipata Gentleman ama ni porojo tu...
Wacha mchezo na Bcom ya UDSM. Yani GPA ya Bcom udsm ya 2.0 ina maana kubwa sana kuliko GPA ya 4.0 ya UDOM, MZUMBE, OPEN, IFM na vyuo vyote unavyovijua hapa nchin vinavyotoa kozi za biashara. Ndio maana digrii ya UDSM inaitwa Honorous. Vyuo vingine vinatoa ordinary degree.... Kwa hiyo mtu yeyoe ambaye amehitimu shahada ya Biashara UDSM ni 'kichwa by default'...

Vipi kwani imekuwaje!Hahah, dah
GPA ni upuuzi mtupu. Vyuo vya binafsi wanatoa ma GPA makubwa lakini uwezo wa mwenye GPA ni mdogo sana.Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni ******....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...
Wadau wenye kumjua Mheshimiwa David Silinde tunaomba wafunguke na matokeo yake pale Mlimani..ni kweli alipata Gentleman ama ni porojo tu...
Fanya mpango wa hata debe mbili basi teacher.Hawa watu wanafikiri vyeti ndo kuwini maisha, nipo first year ualimu, nimevuna gunia 60 katavi za mpunga maisha yanasonga.
Chukua hiyo GPA yako uipeleke mashine ukakoboe, utapata hizo debe mbili za mchele.Fanya mpango wa hata debe mbili basi teacher.
Pass= gentleman's degree . Shida ya nini? Pata pass nenda ega mpunga basi! Chukua medicine miaka 6, pigwa na wagonjwa, shida ya nini!
Mmmh wew inaonekan hata chuo hujafika...gentle ni pass ****** wew