Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Chenge alimaliza Harvad mbona daily anawatandika vijisent /minisent????
ndo hata lusinde , prof maji marefu wapo mlePass degree mbona inatosha sana. His daily business is not hard science, why first class? Second class?
Hivi sibora hata huyu kafika chuo kikuu? Mbona wapo wengine hata form six hawakufika?Pass degree mbona inatosha sana. His daily business is not hard science, why first class? Second class?
Wakwetu upo? Umenisahau!Hivi sibora hata huyu kafika chuo kikuu? Mbona wapo wengine hata form six hawakufika?
So far hakuna anayepita na bandiko la GPA yyake usoni. Kinachomtambulisha MTU ni ccheti ambacho pia kinazidiwaga nguvu na experience kwa msomi was ngazi ya degreeWenye GPA nzuri wote wanamaisha magumu mtaani. We ng'ang'ana na GPA mwenzio anapiga maisha. GPA siyo kipimo cha usomi na maisha
SUA angedisco usidanganye watu wewe!!!!gentlemen kwa udsm kajitahid Angekuwa vyuo vingine ni kipanga huyo okay
Nipo mwanakwetu na last week nilikua huko kwenu. Nilikuja kumposea mwanangu.Wakwetu upo? Umenisahau!
Ungelinitafuta? Kumposea mwanao? Una mtoto mkubwa hivyo?Ni
Nipo mwanakwetu na last week nilikua huko kwenu. Nilikuja kumposea mwanangu.
Otea sasa, alipata ngapi.......?Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni ******....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...
Wadau wenye kumjua Mheshimiwa David Silinde tunaomba wafunguke na matokeo yake pale Mlimani..ni kweli alipata Gentleman ama ni porojo tu...
HATA MIMI NAJUA HIVYO LABDA KUMEKUWA NA MABADILIKO KUANZIA MWAKA 2012Kwanza hiyo Gentleman iko TIA au UDSM?
Hizi rank nyingine isije ikawa mnatuletea za kwenye vyuo vyenu vya mifugo huko. Sijui Distinction n.k! Embu nijuze kwenye list hii hyo gentleman iko ktk ya nn ...
First class
Upper second
Lower second
Pass
HahahahaaaaaPass= gentleman's degree . Shida ya nini? Pata pass nenda TRA piga mpunga basi! Chukua medicine miaka 6, pigwa na wagonjwa, shida ya nini!
MSSASSOU MBONA UMECHEKA?Hahahahaaaaa
sua kwa udsm cha mtoto we sayans mnamaliza wote nenda pale udsm utaona kachukue mastersSUA angedisco usidanganye watu wewe!!!!
Ni
Nipo mwanakwetu na last week nilikua huko kwenu. Nilikuja kumposea mwanangu.
Ya ole ni ngapi vile???? Zeeeeeeeeroooooooo, sifuriiiiiii... Yaaaaaai.....Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...