G.P.A ya mbunge David Silinde

G.P.A ya mbunge David Silinde

Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni ******....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...

Wadau wenye kumjua Mheshimiwa David Silinde tunaomba wafunguke na matokeo yake pale Mlimani..ni kweli alipata Gentleman ama ni porojo tu...


Silinde hakusomea human resource management Huyo MTU na wewe mnamajungu.
 
David Silinde status yake ni Mh Mbunge, huyo anaebisha yeye ni nani?! Kikubwa sana kwenye maisha ni maono, hekima na busara na ujasiri wa kuifuatilia ndoto yako na wala sio sifa za makaratasi; na mengine ya kutengeneza, au zawadi tu yasiyo na uhusiano na weledi wa utumishi wa mtu husika kama Dr, professa majimafupi etc etc. Kuwa na amani, usijibizane na wajinga, wenye akili hawatakuelewa!
Mbona Ole sendeka mlimzoza Sana kumbe mkuki Kwa nguruwe......
 
Ile hutuba ya silinde ilivyosisitiza posho zote za bungeni zifutwe imekua ni Kisu kikali kilichogonga mfupa wa CCM, sasa hivi Lumumba watu wanaugua maumivu.
 
Basi anafaa kuwa Rais. David SILINDE = OUTGOING PRESIDAA.
 
mnavyolingia vyeti mnafikiri ndio kufaulu maisha bahati nzuri maisha hayaangalii vyeti.

Asante Mungu kwa kusaidia hilo maana wasio na vyeti vizuri na kusoma mpaka elimu za juu wangeishi wapi?

lakini bahati nzuri unaweza kuwa na phd ukaajiriwa na aliyeishia darasa la pili.
 
udsm miaka aliyosoma silinde.. hakuna tcu ya kuingia kwa kimemo

silinde ni div 1 ya egm... na amepiga b com udsm..

unaanzia wapi kumwita kilaza????
 
tuwekeeni na hotoba yake ya bungeni tuone kama hotuba pia ni hewa
 
Rafiki Mhe. Mbowe ni mwanasiasa tajiri yeye na familia yake, mambo ya sijui vyeti havina nafasi tena, hao wamewin best!
Hawa watu wanafikiri vyeti ndo kuwini maisha, nipo first year ualimu, nimevuna gunia 60 katavi za mpunga maisha yanasonga.
 
Back
Top Bottom