Jicho lake lilikuwa sana na kichwa cha Binadamu wa sasa!!
nyayo zake sasa, utata mtupu - sasa kwa ma sisita du wa kipindi kile sijui walivaaje high hills - ha ha ha
Hawa jamaa walikuwa ni mijitu mirefu na ya ajabu - naona waliweza hata kutembea toka Africa hadi Asia kwa masaa 2 tu hivi, maana muda huo kulikuwa hakuna Ndege.
Cheki mifupa yao ilivyokuwa mirefu, jilinganishe na wa kwako uone tofauti.