Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,445
- 25,727
Gosernberg Castlekuna ukweli Fulani kuhusu binadamu wa kale kuwa wakubwa kuliko wa sasa. Niliwahi kwenda makumbusho ya mfalme ya nchi moja ya ulaya kuna vitu vya kifalme miaka ya kabla ya Yesu vimehifadhiwa kuna nguo za kivita za chuma ambazo hazipitishi mikuki zilikuwa ni kubwa ile fulana ya chuma ukivaa binadamu wa sasa ni kama umejifunika hema pia kofia zao za kivita za chuma ukivaa unaenda mpka chini jinsi zilivyokuwa nzito