Fuvu la mtu wa kale

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
31,611
37,807
Discovery-Channel-Found-80-Feet-Giant-Human-Skeleton-in-North-India.jpg

Jicho lake lilikuwa sana na kichwa cha Binadamu wa sasa!!

nyayo zake sasa, utata mtupu - sasa kwa ma sisita du wa kipindi kile sijui walivaaje high hills - ha ha ha

Giant-footprint-discovered-in-China-1000x541.jpg

Hawa jamaa walikuwa ni mijitu mirefu na ya ajabu - naona waliweza hata kutembea toka Africa hadi Asia kwa masaa 2 tu hivi, maana muda huo kulikuwa hakuna Ndege.

Cheki mifupa yao ilivyokuwa mirefu, jilinganishe na wa kwako uone tofauti.

skeletons-in-herculaneum.jpg
 
Ni kujiuliza kama kizazi (genetic) imebadilika kiasi hiki, je itakuwa ni miaka mingapi toka binadamu wa kale kuishi duniani na sisi wa leo? hata hisitory sidhani ina record sahihi.
 
Hizi picha zili hit sana miaka ya 2010 kuja mbele. Ili kuondoa imani potofu ingia YouTube andika ; scientist discover giant skeleton - real or fake.......
Hapo utapata jibu kamili
 
kuna ukweli Fulani kuhusu binadamu wa kale kuwa wakubwa kuliko wa sasa. Niliwahi kwenda makumbusho ya mfalme ya nchi moja ya ulaya kuna vitu vya kifalme miaka ya kabla ya Yesu vimehifadhiwa kuna nguo za kivita za chuma ambazo hazipitishi mikuki zilikuwa ni kubwa ile fulana ya chuma ukivaa binadamu wa sasa ni kama umejifunika hema pia kofia zao za kivita za chuma ukivaa unaenda mpka chini jinsi zilivyokuwa nzito
 
kuna ukweli Fulani kuhusu binadamu wa kale kuwa wakubwa kuliko wa sasa. Niliwahi kwenda makumbusho ya mfalme ya nchi moja ya ulaya kuna vitu vya kifalme miaka ya kabla ya Yesu vimehifadhiwa kuna nguo za kivita za chuma ambazo hazipitishi mikuki zilikuwa ni kubwa ile fulana ya chuma ukivaa binadamu wa sasa ni kama umejifunika hema pia kofia zao za kivita za chuma ukivaa unaenda mpka chini jinsi zilivyokuwa nzito[/Q
ni kwamba kwa nini tuwe na miili mikubwa? ili hali kila kitu kimekuwa simplified kwa computer na nyenzo nyingine kama magari,ndege, nk nk
 
Hapo ndo najiuliza mimi ...sisi tumepata wapi huu ufupi kwa nini hatukuwa kama wao?
Kuna muda wanasayansi nao kuna maswali ya kuwauliza
 
Kama kuna mtu amewahi kufika oldupai george iliyopo ngorongoro anajua vitu vya zamani vilikuwaje!kuna fuvu la swala pale ukubwa wake kama kichwa cha ndovu wa sasahivi!tembo fuvu lake kama kichwa cha fuso vile!mi nazani dunia inaenda na technolojia kuwa juu hakutakuwa na haja ya binadam kuwa mkubwa vitakuja kuzaliwa viandunje kama pimbi
 
kuna ukweli Fulani kuhusu binadamu wa kale kuwa wakubwa kuliko wa sasa. Niliwahi kwenda makumbusho ya mfalme ya nchi moja ya ulaya kuna vitu vya kifalme miaka ya kabla ya Yesu vimehifadhiwa kuna nguo za kivita za chuma ambazo hazipitishi mikuki zilikuwa ni kubwa ile fulana ya chuma ukivaa binadamu wa sasa ni kama umejifunika hema pia kofia zao za kivita za chuma ukivaa unaenda mpka chini jinsi zilivyokuwa nzito
Ushahidi kwa namna hawa binadamu wakivyokuwa wakubwa ni pale Misri kwenye ule mnara wa babel, mnara huu mpaka leo upo na kuna mawe makubwa sana yamepandiswa juu - jiwe lina uzito wa tani 3 hadi tano. wakati huo kulikuwa hakuna Technologia ya kuyanyenyua thats means hawa binadamu walikuwa na uwezo wa kunyenyua mzito wa uzito wa zaidi a tani kumi.

leo hii biandamu kunyenua kilo 200 tu ni shughuli pevu.
 
Kwa ushahidi huu ni ipi theory sahihi ya kuwepo binadamu kati ya theory ya Creation of man na ile ya Development of man
nafikiri Development of Man inaweza kuwa na ukweli, ila hatujui baada ya miaka Mil moja ijayo nafikiri binadamu watakuwa wanaishi wiki 4 kisha wanakufa.
 
Hapo ndo najiuliza mimi ...sisi tumepata wapi huu ufupi kwa nini hatukuwa kama wao?
Kuna muda wanasayansi nao kuna maswali ya kuwauliza
Genetic hubadilika kizazi kwa kizazi; hapa tunaongelea miaka Mamillion yaliyopita; pia kumbuka miaka hiyo kulikuwa hakuna clinic, Mama anajifungua mtoto asubuhi tena peke yake anakata kitovu, ikifika mchana mtoto anatembea freshi tu na mama anapiga kazi kama kawaida.

Pia kipindi hicho binadamu wa kale walikuwa hawakai sehemu moja, sasa unakuta wanatoka lets say Africa leo asubuhi, kesho yake ameshafika America au Asia.
 
Apa ndugu umeongeza chumvi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom